Pages

Pages

Wednesday, July 06, 2011

Top Ranked Blogs in Tanzania on AFRIGATOR: Yours Truly's KULIKONI UGHAIBUNI Ranked the THIRD

For the full list,visit AFRIGATOR: TOP RANKED BLOGS IN TANZANIA

2 comments:

  1. Hongera. Endelea kuchanja mbuga, mkuu. Huwa napenda kusikia habari za namna hii. Wakati huu, wanablogu tumeshapata jina Bongo, kama ilivyodhihirika pale Michuzi alipopanda pipa kwenda kuhutubia mkutano wa diaspora London.

    Wewe endeleza libeneke, maana mafanikio haya yanatunyanyua sote machoni mwa jamii. Kila la heri.

    ReplyDelete
  2. Asante sana kwa pongezi,Profesa.Asante zaidi kwa ushauri muhimu ulionipatia.Nashukuru sana

    ReplyDelete