MAJARIBIO
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Saturday, June 14, 2014
Breaking news: Bomu laua mmoja na kujeruhi kadhaa Zanzibar usiku huu (TAHADHARI YA PICHA ZA KUTISHA)
›
Tunaomba radhi kwa picha hizi ambazo ni graphic. Tumejitahidi kuficha sura ya marehemu Mwili wa mtu aliyeuawa kutokana na shambulio hilo la ...
Thursday, June 12, 2014
Habari na picha: Huku nchi ikiwa taabani kifedha, angalia matumizi haya ya vigogo wa juu CCM
›
Wakati taarifa zinatanabaisha kuwa nchi yetu ipo hoi kifedha, huku deni la taifa likizidi kupaa , na serikali ikikuna kichwa kutengeneza ba...
Saturday, May 31, 2014
Usiteseke kimyakimya peke yako: Soma mfano hai wa watu wanakuandama mtandaoni bila sababu (TROLLS)
›
Licha ya kuwa sehemu muhimu za kubailishana mawazo, na pengine kufahamiana na watu mbalimbali, mitandao ya kijamii (social networks) ina upa...
Friday, April 25, 2014
Makala yangu ya RAIA MWEMA Toleo la 23.04.14: "Wazimu Huu wa Udini ni Hatari" #KatibaMpya
›
NI dhahiri sasa kuwa mjadala wa Katiba mpya, hususan kipengele cha muundo wa Muungano, unaelekea kulipeleka taifa mahali pabaya. Japokuwa da...
1 comment:
Friday, April 18, 2014
Makala yangu Ktk RAIA MWEMA la 16.04.14: "Mafuriko Dar na Kauli za Nyodo za Meya @JerrySilaa"
›
NIANZE kwa kutoa pole kwa Watanzania kwa janga la mafuriko ambalo linaendelea kusababisha madhara makubwa katika maeneo mbalimbali huko nyum...
Sunday, April 13, 2014
Sikiza 'nyodo' za Meya Jerry Silaa akihalalisha uwepo wake Mwanza huku wananchi wake wakikabiliana na mafuriko
›
Huu ni mtizamo wangu, na nilimfahamisha Mstahiki meya Jerry Silaa pia: huyu mtu ana bahati sana kwamba ni Meya wa manispaa nchini Tanzania, ...
Saturday, April 12, 2014
Hii sio ya kuikosa (unmissable): Mzungu Kichaa Afunguka kwa @TheSporahShow kuhusu wasanii wa Bongofleva
›
Friday, April 11, 2014
Makala yangu ktk RAIA MWEMA Tole la 09/04/14: "Sakata la Muungano- Si kila jambo jema ni sahihi"
›
KWA familia nyingi huko nyumbani, takriban kila usiku huambatana na kukusanyika mbele ya runinga kuangalia tamthilia mbalimbali. Hali kama h...
Saturday, April 05, 2014
Ishu ya Muungano: Kuna mtu mahala flani anadanganya. Swali ni kwanini?
›
Kimsingi, mchakato wa kupata Katiba mpya umegeuka kuwa hukumu ya Muungano wa 'Tanganyika' (Tanzania Bara) na Zanzibar. Mengi yamesah...
Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi Apr 5,2014: Katiba Mpya katika hatihati ya kupatikana
›
. . . . . . . . . . . . . . . . . . .
›
Home
View web version