Pages

Pages

Thursday, January 03, 2013

Heri ya Siku ya Kuzaliwa Bloga Mwenzetu NAXYLADY



Moja ya malengo ya blogu hii kwa mwaka huu ni kusherehesha kazi,matukio na mambo mbalimbali yanayowahusu mabloga wenzangu.

Kwa kuanzia basi, ninapenda kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa bloga mwenzetu,Mtanzania anayeishi huko Scandinavia, NAXYLADY ambaye ni mmiliki wa blogu ya AFRICA4LIFE

Ninakutakia siku njema ya kuzaliwa pamoja na kila la heri katika maisha yako.

Enjoy your big day

1 comment: