MAJARIBIO
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Wednesday, February 27, 2008
UNAFIKI WA AKINA MWANDOSYA (MAKALA NDANI YA GAZETI LA RAIA MWEMA)
Makala yangu ndani ya toleo la wiki hii la gazeti la
Raia Mwema
inazungumzia UNAFIKI: Ule wa
Profesa Mwandosya
kuitaka Dawasco isiwataje hadharani mawaziri wanaodaiwa maji
na Mamlaka hiyo;ule wa
Askofu Thomas Laizer
wa
KKKT
Dayosisi ya Arusha
kutumia neno la Bwana kuwapiga vijembe
wanamwandama
Lowassa
,na ule wa "
mabilioni ya
EPA
yanayorejeshwa kwa kasi
."Makala hiyo imeanza kwa stori za hapa na pale,mambo ya muziki wa kufokafoka na albamu ya
Jay-Z
ya
American Gangster
ilivyosahau matatizo ya
Black Americans
.Stori hizo ni zinaunganishwa katika namna ile ile ya
conversational style
,napenda sana makala iwe mithili ya kupiga stori na msomaji,iwe kijiweni,kwenye pub,au hata barazani.Pamoja na habari na makala zilizokwenda shule,bingirika na makala hiyo kwa
KUBONYEZA HAPA
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment