Pages

Pages

Saturday, September 20, 2008

UPDATES KUHUSU SUALA LA MAFUTA YA ZANZIBAR

Ukiona watu wameshaanza kutoleana macho kabla hata mafuta yenyewe hayajapatikana basi ujue pindi yakipatikana itakuwa balaa.Upatikaji wa mafuta ni neema inayoweza kuwa balaa pia pindi tamaa zinapowekwa mbele kuliko maslahi ya jamii nzima.Zaidi SOMA HAPA

No comments:

Post a Comment