Pages

Pages

Thursday, October 30, 2008

KABLA YA KUPORA MWANDANI WA MTU JIULIZE KAZI ANAYOFANYA

Bosi mmoja wa kampuni ya ujenzi aliamua kutumia nyenzo zake za kazi kulipiza kisasi kwa jamaa aliyempora mpenzi wake.Alipopata nafasi mwafaka ya kulipa kisasi akachukua greda/kijiko na kwenda kupondaponda gari ya "mwizi" wake (hiyo hapo pichani chini).BEWARE!

1 comment:

  1. duu hii kali aise haya mambo yanaweza kutawanya kila kiungo cha mwili kwa sekunde. mapenzi jambo la ajabu sana sijui inakuwaje mambo haya

    ReplyDelete