Pages

Pages

Thursday, October 16, 2008

WARIOBA,KAFARA EPA KUSHTAKIWA? HABARI NDANI YA GAZETI LA RAIA MWEMA

Kuna uwezekano mkubwa kwamba Waziri Mkuu mstaafu,Jaji Joseph Warioba,akaingizwa matatani kutokana na uchunguzi unaofanyika ndani ya kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Mwananchi Gold....kwa habari hii pamoja na nyingine,bila kusahau makala motomoto ndani ya gazeti lililobobea la Raia Mwema,BONYEZA HAPA.

No comments:

Post a Comment