Pages

Pages

Friday, August 06, 2010

Tembelea Blogu ya Rais Mtarajiwa Dokta Wilbroad Slaa

Usikose kutembelea blogu ya Dokta Wilbroad Slaa, mgombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).Blogu hiyo inayoitwa Friends of Slaa- Marafiki wa Slaa  inapatikana katika anuani ya mtandao http://www.friendsofslaa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment