Pages

Pages

Saturday, November 06, 2010

Dunia Ina Mambo: Apanda Ndege Akiwa Kibabu Ashuka akiwa Kijana



Picha zote hapo juu ni za mtu mmoja.Alipanda ndege huko Hong Kong akiwa "kibabu" na kuteremka Kanada akiwa kijana.Actually,huyu ni kijana halisi lakini alijivika kinyago na kuonekana kikongwe,lengo lake likiwa kuingia nchini Kanada kuomba ukimbizi.

1 comment: