Pages

Pages

Saturday, March 26, 2011

British Summer Time: Usisahau Kubadilisha Muda Leo Saa 7 Usiku


Kwa kumbukumbu tu,kwa hapa Uingereza msimu wa majira ya joto (summer) unaanza hapo saa 7 usiku.Kama ilivyo ada,inalazimu kusogeza muda kwa saa moja.

Tovuti hii inawatakia nyote Summer Time njema

No comments:

Post a Comment