Pages

Pages

Thursday, March 10, 2011

Makala Yangu Katika Jarida la Raia Mwema Wiki Hii: Kikwete na Hotuba Yenye Majibu Mepesi...

Katika makala yangu ndani ya jarida mahiri la Raia Mwema toleo la wiki hii nimechambua hotuba ya Rais Kikwete ya mwisho wa mwezi Machi.Lakini pamoja na makala hiyo na nyinginezo zilizoandikwa na magwiji wa uchambuzi,pia kuna habari mbalimbali zinazohusu kila kada ya jamii

BONYEZA HAPA kusoma makala hiyo.

No comments:

Post a Comment