Pages

Pages

Thursday, April 14, 2011

Makala yangu ktk Raia Mwema Toleo la April 13: "Ya watawala wetu na vilio vya wanyonge!"


Katika makala yangu kwenye toleo la wiki hii la jarida mahiri la Rais Mwema nazungumzia kujihusisha kwangu na uandishi wa makala magazetini,ikiwa ni pamoja na faida na hasara zake kwangu.Kadhalika nawasilisha vilio vya wanajamii ambao wametelekezwa na watawala.Pamoja na makala hiyo ( BONYEZA HAPA KUISOMA) ni habari na uchamuzi mahiri katika jarida hilo maridhawa la RAIA MWEMA

No comments:

Post a Comment