Pages

Pages

Thursday, May 19, 2011

Tangazo la Blogu Mpya ya KONA YA MATUKIO


JINA LA BLOG: KONA YA MATUKIO

Tunapenda kulitambulisha wadau wote libeneke jipya la KONA YA MATUKIO ambapo nia na lengo kubwa ni kuleta matukio yanayotokea kila siku katika Jamii yetu na Duniani kwa Ujumla..pia kutakuwa na Matukio ya papo kwa hapo yani Breaking News Endelea kuwepo kila muda kujua nini kitatokea

Kama unatukio la aina yoyote tutumie kupitia tonemultimediacoltd@yahoo.com 
Karibuni nyote na asanteni kwa kututembelea.

Pamoja Tunaweza

No comments:

Post a Comment