Heri ya Siku yako ya Kuzaliwa Kijana Kennedy Ntibenda
Kijana,heri kwa siku yako ya kuzaliwa.Nakutakia kila la heri katika maisha yako na usisahau kumtanguliza Mungu katika kila ufanyalo.Salamu kwa Mzee Kispuni (kushoto pichani chini) na dadangu Mama K.
No comments:
Post a Comment