PICHA: London Yaendelea Kuwaka Moto kwa Vurugu Kufuatia Mweusi Kuuawa na Polisi
Mauaji ya Mark Duggan,Mwingereza Mweusi,yaliyotokana na kupigwa risasi na polis hapo Alhamisi iliyopita ndio yamepelekea vurugu kubwa zinazoendelea katika kitongoji cha Tottenham,Kaskazini mwa jiji la London kama picha zifuatazo zinavyoonyesha
No comments:
Post a Comment