Pages

Pages

Tuesday, February 21, 2012

Kupunguza Urasimu au Uzembe wa Mchana Kweupe? Angalia Fomu ya Viza ya Kuingia Tanzania!!!





CHANZO: Jamii Forums

KWA MWENDENO HUU NDIO MAANA TUNASHUHUDIA "MAFURIKO YA WAWEKEZAJI" WANAOISHIA KUPORA AJIRA ZA WAMACHINA (KWA MFANO WACHINA).UKILINGANISHA FOMU HIYO HAPO JUU NA FOMU ZA KUOMBEA VIZA ZA KUINGIA NCHI KAMA UINGEREZA AU MAREKANI UTABAINI JINSI GANI HATUPO SERIOUS KATIKA MAMBO NYETI.

No comments:

Post a Comment