Rolls Royce la Thamani Kubwa...Lakini Kamwe Hutatamani Kulipanda (PICHA)
Gari hili la kifahari lina thamani ya zaidi ya pauni laki nne za Kiingereza (zaidi ya shilingi bilioni moja za Kitanzania) lakini cha kuogopesha sio hiyo thamani pekee bali ukweli kwamba NI GARI LA KUBEBEA MAITI...!!!
No comments:
Post a Comment