Siasa Hatari, literally, kama zinavyobainisha picha hizi na video
Picha hizi na video hapo chini zinaonyesha jaribio la mauaji ya mwanasiasa wa Bulgaria Ahmed Dogan, wa chama cha Movement for Rights and Freedoms, alipokuwa akihutubia jukwaani. Kwa habari kamili BONYEZA HAPA
No comments:
Post a Comment