VIDEO: Hafla iliyoandaliwa na Balozi wa Tanzania hapa UK Peter Kallaghe Kumkaribisha Balozi Mpya wa UK Tanzania
Mh Balozi wa Tanzania Peter Kallaghe aliandaa hafla fupi ya chakula cha jioni kwa ajili ya kumpongeza na kumkaribisha Tanzania Balozi mpya wa Uingereza nchini Tanzania Dianna Melrose tarehe 31.1.2012
No comments:
Post a Comment