Pages

Pages

Friday, May 24, 2013

Tangazo: Vodacom Inatafuta Mtangazaji mpya wa kipindi cha TV


MKALI WA VODACOM:
Je, unajiamini kuwa na kitu kinachokufanya uwe mkali mtarajiwa? Vodacom inatafuta mtangazaji mpya wa kipindi cha TV kitakachoanza hivi karibuni. Soma namna ya kushiriki na unaweza kuwa mmoja ya watangazaji wa kipindi hiki.
Kazi ni kwako

No comments:

Post a Comment