Pages

Pages

Friday, September 13, 2013

HUYU NDIYE KIUMBE-HAI MWENYE SURA MBAYA ZAIDI

Blobfish (c) Rex Features/Greenpeace

Jumuiya ya hifadhi kwa viumbe wenye sura mbaya imemtangaza samaki anayejulikana kama blobfish kuwa ndiye kiumbe hai mwenye sura mbaya kuliko wote duniani.

Kwa habari kamili soma HAPA

No comments:

Post a Comment