Featured Posts

Showing posts with label APRIL FOOL'S DAY HOAX. Show all posts
Showing posts with label APRIL FOOL'S DAY HOAX. Show all posts

Tuesday, April 01, 2014

Rais Kikwete ahutubia Watanzania waishio Uingereza, atangaza kuvunja Bunge la Katiba

Rais Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania wanaoishi hapa Uingereza
Baada ya sokomoko lilodumu kwa siku kadhaa sasa kuhusu mchakato wa kupata Katiba mpya, hatimaye Rais Jakaya Kikwete ametangza kulivunja Bunge hilo akibainisha kwamba ni vigumu kwa mazingira yaliyopo kufikiwa mwafaka wowote ule, sambamba na dhamira ya kuokoa fedha za umma.

Rais aliyasema hayo alipoongea na Watanzania wanaoishi hapa Uingereza, ambapo yupo kwa ziara ya kidola ya siku tatu. Kwa maelezo kamili bofya HAPA

Wednesday, April 01, 2009

BREAKING NEWS: MWAKYEMBE,SELELII,KILANGO WAJIENGUA CCM,WAJIUNGA NA CHADEMA



HABARI HII NI KWA MUJIBU WA VYANZO VYA UHAKIKA HUKO NYUMBANI (BONYEZA HAPA)

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India