Featured Posts

Showing posts with label CHILD LABOUR. Show all posts
Showing posts with label CHILD LABOUR. Show all posts

Monday, September 20, 2010

Hii ni Ajira au Unyanyasaji wa Watoto (VIDEO)



Hii ni Kazi ama Unyanyasaji wa watoto..?

Kwakweli nimesikitika sana baada ya kuona hii video ya documentary ya Mtanzania aliewaiba watoto walemavu  na kuwapeleka nchini Kenya na kuwafanya omba omba, Anawapeleka asubuhi na mapema sa kumi na Moja na kuwasambaza maeneo mbali mbali na usiku anawapitia kuwachukua na baaae anakusanya mafao, kijana huyo wakitanzania nchini Kenya hana kazi ingine zaidi ya hiyo hapo,Je hii ni sawa na watanzania wenzangu tunalizungumziaje swala hili? maana ni zaidi ya unyanyasaji wa wa watoto.

Video husika ni hii hapa chini


 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India