Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Sina la kusema Kaka. Asante kwako na pole kwao. Ila ninalojiuliza ni ku wa kuna maendeleo gani aliyofanya huko Bukoba? Hivi wakianza kuweka wilaya ya kwanza mpaka ya mwisho ya kwake itakuwa ya ngapi na atachapwa na nani?
Licha ya kuwa kinyume cha haki, alichofanya huyo mkuu wa wilaya ni udhalilishaji.
Huwa nafika hapa kusoma na kuondoka kimya kimya, leo imebidi niandike maana hiyo habari kwa njia ya picha imefikisha ujumbe asilimia 101% ha ha haa, nimefurahi sana!
Bado msimamo wangu ni ule ule, kuwachapa walimu haikuwa sahihi. Ipo namna ya kuadhibiana na si kukurupuka tu. DC tayari amefutwa kazi na Raisi.
Sina la kusema Kaka. Asante kwako na pole kwao. Ila ninalojiuliza ni ku wa kuna maendeleo gani aliyofanya huko Bukoba? Hivi wakianza kuweka wilaya ya kwanza mpaka ya mwisho ya kwake itakuwa ya ngapi na atachapwa na nani?
ReplyDeleteLicha ya kuwa kinyume cha haki, alichofanya huyo mkuu wa wilaya ni udhalilishaji.
Huwa nafika hapa kusoma na kuondoka kimya kimya, leo imebidi niandike maana hiyo habari kwa njia ya picha imefikisha ujumbe asilimia 101% ha ha haa, nimefurahi sana!
ReplyDeleteBado msimamo wangu ni ule ule, kuwachapa walimu haikuwa sahihi. Ipo namna ya kuadhibiana na si kukurupuka tu. DC tayari amefutwa kazi na Raisi.