Featured Posts

Tuesday, May 18, 2010

Cameron Atembea Kwa Miguu Kwenda Kuzindua Bunge Jipya



Watawala wetu waache magari yao ya kifahari wachekwe?Nchi tajiri lakini viongozi wanaishi kawaida,lakini sie masikini na ombaomba wa kutembeza bakuli viongozi wetu wanaishi kifahari kama wafanyabiashara matajiri.

2 comments:

Anonymous said...

MMbio za sakafuni huisha ukingoni

Anonymous said...

Viongozi wa watanzania hawawezi kufanya hivyo kwa sababu ya mazingira waliotegeneza kutokana uongozi kuwa unabariki rushwa hivyo kupelekea huku mtaaani kwetu kuwa siyo sehemu ya amani hivyo wanaogopa kushambuliwa na wananchi wavunja sheri kama vile wezi na waporaji nk...Ingawa sababu kuu za hao wahaalifu wadogo inatokana na wao kuwalinda na kujilinda wahaalifu wakubwa

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India