Featured Posts

Monday, March 05, 2012

Nimevutiwa na Kipaji Hiki: Msanii Semy Page na Singo Again and Again (AUDIO)


ngoma inaitwa AGAIN and AGAIN,
msanii ni SEMY PAGE toka kundi la Macube rymers,akiwa amemshirikisha msanii BIG BOSS
ngoma imetengenezwa kwenye studio za M LAB producer akiwa Kanye Mujwahuki
hii ni nyimbo yake ya kwanza kama solo artist baada ya kutoka na ngoma ya kundi iliyokwenda kwa jina la HIRA.



Picha,Caption na Track kwa hisani ya DJ CHOKA

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India