.
Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Binafsi nimefurahia mahojiano haya. Nakupa hongera sana kaka Evarist na pia nampa heko Mwana F.A kwa kutoa ushirikiano stahiki.
Kuhusu taaluma yake;ningependa kujua ni taaluma gani aliyokuwa anaisomea na kama kuna sababu iliyomlazimu kwenda kuisomea nje ya nchi na si hapa hapa nyumbani.
Nampendekeza Solo Thang a.k.a Ulamaa kwa mahojiano yatayofuata. Nafahamu kwa sasa amepotea kwenye gemu lakini mimi binafsi(pengine na wadau wengine) ningependa kusikia kutoka kwake popote alipo.

TUNAOMBA KUWE NA UWIANO WA RANGI HATUONI VIZURI MAANA DARKBLUE NA BLACK DAAH NI USHAURI TUU KAMA MAHOJIANO APA NIMEPATA SHIDA KUSOMA SANA YANAUMIZA MACHO
Hajatuambia alikuwa anasomea kitu gani. Kuonyesha picha kuwa yuko nje jengo la Coventry University haitoshi. Pili, alianza masomo tangu mwaka 2008, je ni masters gani inayochukua muda wote huo?
Mahojiano yako kuhusu elimu yake hayakunirisha kabisa. Ningependa kufahamu 1) alikuwa anafanya kozi gani? 2) alikuwa anasoma chuo gani? 3)ame-graduate lini?
Huwezi kumwita mtu mwamamuziki msomi wa kiwango cha juu bila ya mtu huyo kufuzu kozi aliyojisajili.
Kweli alikuwa anasoma? Mbona watu wanao-graduate tunawaona kwenye blogs mbali mbali wakati wa mahafali? WaTanzania tuwe wakweli jamani!
Nakubaliana kabisa na comments za anonymous waliotangulia hapo juu. Kozi za Masters katika vyuo vingi vya UK ni mwaka mmoja. Mbona hajamaliza tangu tangu alipoanza masomo mwishoni mwa 2008. Kweli alikuwa anasoma au anatafuta umaarufu kwa kuwa mwanamziki wa bongo flava mwenye kiwango cha juu kabisa cha elimu. Muda mrefu alikuwa anaonekana kwenye concerts, je hicho chuo alikuwa anasoma saa ngapi? Vyuo vya UK ni mchakamchaka, hilo halina ubishi.Tutaweza kuamini kuwa ni msomi pale tutakapopata uthibitisho kuwa amehitimu, na si vinginevyo.
Kusema ukweli hilo suala la huyu bwana kufanya kozi ya uzamili (masters) lina utata. Angekuwa muwazi. Watu huwa wanaahirisha au kuacha masomo. Kama yeye mwenyewe analivyosema huhitaji kuwa na masters kutengeneza muziki mzuri. Lakini baada ya muda mfupi sana ukweli wa jambo hili utajulikana. Ninavyofahamu mimi Coventry University ni chuo chenye sifa kubwa, labda mtu anataka kupata umaarufu kwa kusema alikuwa anasoma hicho hicho. Waingereza wanasema 'let's wait and see.'
Wengi mnauliza kuhusu alichosome inaonyesha wazi kabala ya hapa hamkuwa na taarifa, ina maana hamna taarifa lakini mkiulizwa kuhusu beyonce rihana na katuni wengine itakuwa rahisi kuwaelezea kana kwamba ni kaliba yenu.
kwa aliyemfuatilia toka akiwa IMF hana haja ya kuuliza hapa alikwenda kusomea nini wkakuwa hata alipoacha kazi NBC BANK ilielezwa na kuandikwa sana anakwenda kusomea nini.
kuweni makini siyo kukurupuka kumhoji Chahali kuhusiana na MWANA-FA.
labda mseme hampo bongo, lakini rudini katika taarifa za nyuma, mimi najua ila istki kuisemea kwakuwa sijaruhusiwa na mwenyekiti wa blog hii
we anonymous hapo juu,muwe mnachuja basi kabla ya kujiandikia hadharani.hoja nyingine ni za kipuuzi sana.wote wanaograduate ni lazima waweke picha kwenye mablog?ujinga tu.uliza tu kistaarabu amesoma nini?amegraduate lini?kozi yake ilikuwa ya mudagani?nk.kwanimpaka mseme maneno mabaya ndio mnaridhika?
Wewe anonymous hapo juu usimchagulie wenzako jinsi ya ku-comment na kusema hoja usizozipenda ni za kipuuzi. Hoja aliyoleta ni ya msingi sana kwani blogger ndiye aliyedai kuwa MwanaFA ni msomi wa hip hop Tanzania mwenye kiwango cha juu cha elimu. Ame-graduate Coventry University lini? Kama amefanya mahafali a-post hizo picha au uthibithisho kwenye hii blog kama alivyo-post picha zake hapo juu. Tatizo hapo liko wapi? Amesema maneno gani mabaya au ya ujinga?
Comment yako ndiyo ingechujwa kwa kuwa ina maneno mabaya: umemwambia mwezanko anatoa hoja za kipuuzi na ujinga.
Tembelea bongocelebrityblogspot uone wadau walivyouliza kuhusu hayo madai ya kufanya MSc ya Finance hapo Coventry University.
The truth hurts hata kama wewe ni mshabiki wake. Tunaomba kujua ukweli kuhusu madai ya elimu yake.
anonymous 23: 13 umetoa a valid point. Nakuunga mkono. Kama amemaliza successfully, itakuwa challenge nzuri kwa artists wengine wa wa nyumbani kuwa unaweza kufanya muziki na ukasoma. Halafu atakuwa kama a role model kwa wasaani wengine. Nimetembelea bongocelebrityblogspot na kusoma comments za wadau. Wengi bado hawaamini kuwa FA amefanya Masters hapo Coventry University. Nafikiri interview hii ilikuwa nafasi nzuri ya kuwaondolea watu shaka. WaTanzania tubadilike. Si kila mtu anayehoji ni hater. We don't hate him. Tunamtakia mafanikio, lakini ukweli unatakiwa kuwekwa wazi.Na yeye anaweza kuchangia hoja kuhusu suala hili. Hatuna haja ya kusutana au kupeana comments za kejeli. Naamini hii ni moja ya blogs za wastaarabu.
Bw Mpangala, hakuna aliyeuliza habari za IFM wala NBC. Hujaielewa hoja. Kaka Evarist ameandika kuwa MwanaFA ni msomi wa hip hop ya Tanzania mwenye elimu ya juu kabisa aliyefuzu masomo yake ya uzamili. Wachangiaji wametaka kujua 1) alisomea kozi gani? 2) amesoma chuo kipi? na 3) amemaliza lini? Mbona hayo ni maswali rahisi sana.
Unaonekana unajichanganya. Unasema wewe humsemei MwanaFA, halafu unaeleza habari zake kuwa alisoma IFM na aliacha kazi NBC. Mbona tayari umekuwa msemaji wake?
Anonymous mmoja hapo juu ametoa mchango mzuri kabisa kuwa MwanaFA anaweza kuchangia suala hili. Hatumuulizi kaka Evarist ajibu maswali yanayopaswa kutolewa ufafanuzi na MwanaFA. Au Bw Mpangala unataka tukubali stori yo yote hata kama inatia mashaka?
Hey MwanaFA, come out man. Tell us the truth about your education. We, your fans, are confused about this matter. Remember the old adage which says: ye shalt know the truth, and the truth shalt set ye free (mtajua kweli, maana kweli itawaweka huru). If you don't explain this, we, your supporters, will believe that you hiding something. All the best Evarist. Keep it up man! I enjoy visting your blog.
MAHOJIANO SI MABAYA MI NAKUTAKIA KILA LA LAHERI KATIKA SHUGHULI ZAKO ZA KIKAZI NA KIMASOMO
Binafsi nimefurahia mahojiano haya. Nakupa hongera sana kaka Evarist na pia nampa heko Mwana F.A kwa kutoa ushirikiano stahiki.
ReplyDeleteKuhusu taaluma yake;ningependa kujua ni taaluma gani aliyokuwa anaisomea na kama kuna sababu iliyomlazimu kwenda kuisomea nje ya nchi na si hapa hapa nyumbani.
Nampendekeza Solo Thang a.k.a Ulamaa kwa mahojiano yatayofuata. Nafahamu kwa sasa amepotea kwenye gemu lakini mimi binafsi(pengine na wadau wengine) ningependa kusikia kutoka kwake popote alipo.
Binafsi nimefurahia mahojiano haya. Nakupa hongera sana kaka Evarist na pia nampa heko Mwana F.A kwa kutoa ushirikiano stahiki.
ReplyDeleteKuhusu taaluma yake;ningependa kujua ni taaluma gani aliyokuwa anaisomea na kama kuna sababu iliyomlazimu kwenda kuisomea nje ya nchi na si hapa hapa nyumbani.
Nampendekeza Solo Thang a.k.a Ulamaa kwa mahojiano yatayofuata. Nafahamu kwa sasa amepotea kwenye gemu lakini mimi binafsi(pengine na wadau wengine) ningependa kusikia kutoka kwake popote alipo.
TUNAOMBA KUWE NA UWIANO WA RANGI HATUONI VIZURI MAANA DARKBLUE NA BLACK DAAH NI USHAURI TUU KAMA MAHOJIANO APA NIMEPATA SHIDA KUSOMA SANA YANAUMIZA MACHO
ReplyDeleteHajatuambia alikuwa anasomea kitu gani. Kuonyesha picha kuwa yuko nje jengo la Coventry University haitoshi. Pili, alianza masomo tangu mwaka 2008, je ni masters gani inayochukua muda wote huo?
ReplyDeleteMahojiano yako kuhusu elimu yake hayakunirisha kabisa. Ningependa kufahamu 1) alikuwa anafanya kozi gani? 2) alikuwa anasoma chuo gani? 3)ame-graduate lini?
ReplyDeleteHuwezi kumwita mtu mwamamuziki msomi wa kiwango cha juu bila ya mtu huyo kufuzu kozi aliyojisajili.
Kweli alikuwa anasoma? Mbona watu wanao-graduate tunawaona kwenye blogs mbali mbali wakati wa mahafali? WaTanzania tuwe wakweli jamani!
Nakubaliana kabisa na comments za anonymous waliotangulia hapo juu. Kozi za Masters katika vyuo vingi vya UK ni mwaka mmoja. Mbona hajamaliza tangu tangu alipoanza masomo mwishoni mwa 2008. Kweli alikuwa anasoma au anatafuta umaarufu kwa kuwa mwanamziki wa bongo flava mwenye kiwango cha juu kabisa cha elimu. Muda mrefu alikuwa anaonekana kwenye concerts, je hicho chuo alikuwa anasoma saa ngapi? Vyuo vya UK ni mchakamchaka, hilo halina ubishi.Tutaweza kuamini kuwa ni msomi pale tutakapopata uthibitisho kuwa amehitimu, na si vinginevyo.
ReplyDeleteKusema ukweli hilo suala la huyu bwana kufanya kozi ya uzamili (masters) lina utata. Angekuwa muwazi. Watu huwa wanaahirisha au kuacha masomo. Kama yeye mwenyewe analivyosema huhitaji kuwa na masters kutengeneza muziki mzuri. Lakini baada ya muda mfupi sana ukweli wa jambo hili utajulikana. Ninavyofahamu mimi Coventry University ni chuo chenye sifa kubwa, labda mtu anataka kupata umaarufu kwa kusema alikuwa anasoma hicho hicho. Waingereza wanasema 'let's wait and see.'
ReplyDeleteWengi mnauliza kuhusu alichosome inaonyesha wazi kabala ya hapa hamkuwa na taarifa, ina maana hamna taarifa lakini mkiulizwa kuhusu beyonce rihana na katuni wengine itakuwa rahisi kuwaelezea kana kwamba ni kaliba yenu.
ReplyDeletekwa aliyemfuatilia toka akiwa IMF hana haja ya kuuliza hapa alikwenda kusomea nini wkakuwa hata alipoacha kazi NBC BANK ilielezwa na kuandikwa sana anakwenda kusomea nini.
kuweni makini siyo kukurupuka kumhoji Chahali kuhusiana na MWANA-FA.
labda mseme hampo bongo, lakini rudini katika taarifa za nyuma, mimi najua ila istki kuisemea kwakuwa sijaruhusiwa na mwenyekiti wa blog hii
we anonymous hapo juu,muwe mnachuja basi kabla ya kujiandikia hadharani.hoja nyingine ni za kipuuzi sana.wote wanaograduate ni lazima waweke picha kwenye mablog?ujinga tu.uliza tu kistaarabu amesoma nini?amegraduate lini?kozi yake ilikuwa ya mudagani?nk.kwanimpaka mseme maneno mabaya ndio mnaridhika?
ReplyDeleteWewe anonymous hapo juu usimchagulie wenzako jinsi ya ku-comment na kusema hoja usizozipenda ni za kipuuzi. Hoja aliyoleta ni ya msingi sana kwani blogger ndiye aliyedai kuwa MwanaFA ni msomi wa hip hop Tanzania mwenye kiwango cha juu cha elimu. Ame-graduate Coventry University lini? Kama amefanya mahafali a-post hizo picha au uthibithisho kwenye hii blog kama alivyo-post picha zake hapo juu. Tatizo hapo liko wapi? Amesema maneno gani mabaya au ya ujinga?
ReplyDeleteComment yako ndiyo ingechujwa kwa kuwa ina maneno mabaya: umemwambia mwezanko anatoa hoja za kipuuzi na ujinga.
Tembelea bongocelebrityblogspot uone wadau walivyouliza kuhusu hayo madai ya kufanya MSc ya Finance hapo Coventry University.
The truth hurts hata kama wewe ni mshabiki wake. Tunaomba kujua ukweli kuhusu madai ya elimu yake.
anonymous 23: 13 umetoa a valid point. Nakuunga mkono. Kama amemaliza successfully, itakuwa challenge nzuri kwa artists wengine wa wa nyumbani kuwa unaweza kufanya muziki na ukasoma. Halafu atakuwa kama a role model kwa wasaani wengine. Nimetembelea bongocelebrityblogspot na kusoma comments za wadau. Wengi bado hawaamini kuwa FA amefanya Masters hapo Coventry University. Nafikiri interview hii ilikuwa nafasi nzuri ya kuwaondolea watu shaka. WaTanzania tubadilike. Si kila mtu anayehoji ni hater. We don't hate him. Tunamtakia mafanikio, lakini ukweli unatakiwa kuwekwa wazi.Na yeye anaweza kuchangia hoja kuhusu suala hili. Hatuna haja ya kusutana au kupeana comments za kejeli. Naamini hii ni moja ya blogs za wastaarabu.
ReplyDeleteBw Mpangala, hakuna aliyeuliza habari za IFM wala NBC. Hujaielewa hoja. Kaka Evarist ameandika kuwa MwanaFA ni msomi wa hip hop ya Tanzania mwenye elimu ya juu kabisa aliyefuzu masomo yake ya uzamili. Wachangiaji wametaka kujua 1) alisomea kozi gani? 2) amesoma chuo kipi? na 3) amemaliza lini? Mbona hayo ni maswali rahisi sana.
ReplyDeleteUnaonekana unajichanganya. Unasema wewe humsemei MwanaFA, halafu unaeleza habari zake kuwa alisoma IFM na aliacha kazi NBC. Mbona tayari umekuwa msemaji wake?
Anonymous mmoja hapo juu ametoa mchango mzuri kabisa kuwa MwanaFA anaweza kuchangia suala hili. Hatumuulizi kaka Evarist ajibu maswali yanayopaswa kutolewa ufafanuzi na MwanaFA. Au Bw Mpangala unataka tukubali stori yo yote hata kama inatia mashaka?
Hey MwanaFA, come out man. Tell us the truth about your education. We, your fans, are confused about this matter. Remember the old adage which says: ye shalt know the truth, and the truth shalt set ye free (mtajua kweli, maana kweli itawaweka huru). If you don't explain this, we, your supporters, will believe that you hiding something. All the best Evarist. Keep it up man! I enjoy visting your blog.
ReplyDeleteMAHOJIANO SI MABAYA MI NAKUTAKIA KILA LA LAHERI KATIKA SHUGHULI ZAKO ZA KIKAZI NA KIMASOMO
ReplyDelete