![]() |
Waislam wakiwa kwenye swala.Picha hii haihusiani moja kwa moja na habari ifuatayo |
![]() |
Waislam wakiwa kwenye swala.Picha hii haihusiani moja kwa moja na habari ifuatayo |
Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
![]() |
Waislam wakiwa kwenye swala.Picha hii haihusiani moja kwa moja na habari ifuatayo |
Chahali, mimi ni msomaji sana wa blog yako, but inaonekana unachukia sana uislam sababu una bold sana habari za waislam tena unachagua mbaya tu kila nisomapo blog yako b4 chaguzi ilikuwa ccm sasa umehamia kwa uislam, why? cha ajabu unazungumzia kuchomwa moto kanisa unatoa picha ya watu wanaswali!!tafuta basi na habari nzuri pia zipo nyingi tu kuhusu uislam
Mkuu,asante kwa comment.Kama nilivyoandika hapo chini ya picha,taswira hiyo haihusiani moja kwa moja na habari husika.Ni picha tu ya waumini wanaoswali.
Nilitarajia badala ya kunilaumu kuwa nauchukia Uislamu ungewashutumu hao waliofanya vitendo vya kihalifu.
Pia naomba kukuhakikishia kuwa japo mie ni Mkristo,sina chuki yoyote na Waislamu.Naamini licha ya tofauti zetu kidini,sote tunapaswa kukemea watu wanaogeuza dini kuwa chanzo cha migogoro.Wanaonifahamu wanaweza kukuthibitishia ukaribu wangu na Uislam na Waislam.Naomba uamini hivyo.
Waislamu ni balaa la dunia. Kuwachukia ni halali na haki. Hata Muhammad aliwachukia akawaachia mfumo laanifu na mchafu kuliko hata nguruwe.
Back again Chahali, mtu akisoma heading yako then akaangalia picha b4 hajasoma maelezo uliyoandika, atakuwa na tafsiri kama, kuswali inamaanisha msimamo mkali which implies matendo mabaya, as u know picture speaks more than words. I dont blame u coz is just mtazamo wako binafsi but jaribu kuweka picha zinazo relate na habari directly. Huyo Anonymous 29/11/2010 02.05.bahati mbaya amebarikiwa upungufu wa mawazo pia ufinyu wa elimu unachangia
Nimekuelewa ndugu yangu.Nitabadilisha hiyo picha.Samahani kama nimekwaza.
Hao ni kawaida yao, waislamu mnafundishwa kuwachukukia wakristo mkiwa bado watoto wadogo, hiyo ni imo katika imani zenu. Kama ingekuwa hivyo basi nyote si muende mukaishi huko uarabuni, mbona mkifika nchi za watu mnaruhusiwa kujenga misikiti yenu na kuswali, huko kwenu mnaona wenzenu hawana haki grow up guys. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu muchungu.Anonymous 29 he is right na hajapungukiwa na kitu chochote na elimu anayo tosha zaidi yako 29/11 04.20
nimechoka na watu kutumia dunia kama excuse ya kuact kama wanyama, hamna dini yeyote inafundisha kuchukia watu, kama dini inakufundisha chuki basi sio dini, sijui kwanini hatuwezi tukakaa kila mtu akaamini anavyotaka tueshimiane choice zetu, kuchoma kanisa unaprove nini, hata sielewi hata kidogo, kwanza waislam wa Kiafrica mnavojipendekeza kwa waarabu, they hate black people, sijui kupindekeza ndio nini, hasa hasa watawatumia kuwapandisha ndege, wake up and form your opinion ...
Ewe uliemtukana muhamad na waislam,allah akusamehe na akuongoze njia ya haki... Amen
vijana msikurupuke na udini someni upate kufuta ujinga mnafahamu zanzibar ukristo umefika kabla ya mama zenu ba babu zenu tena wanaishi kwa upendo somedi dini zenu YESSU NA MOHAMAD NI siyo wazungu ni watu wenye asili ya kiarabu mayahudi ni ndugu na warabu na asili yao ni siriya na lebanon siyo warabu wote waislam wapo arab jush jee unajuwa warabu na mayahudi ni kizazi kilichotoka kwa mtume Gink solomo ni babu wa wayahudi na wawarabu jee wewe mmatumbi unatokeya wapi? YESSU KAJA KWAAJILI YA KONDOO WALIOPOTEYA WA KIYAHUDI NA MOHAMAD KAJA KWA AJILI YA WARABU SASA WEWE MMATUMBI USIKURUPUKE
Kwa mtazamo wangu, wewe unachuki binafsi na waislamu, habari zako nyingi unavyo report unajaribu kutengeneza chuki katika jamii..Hii ni moja wapo..
Sasa bwana Chahali naona mwelekeo wa Blog na maoni yanaelekea njia isiyo sahihi, kujadili vitu vinanvyofundishwa kila iku makanisani na misikitini lakini havijaweza kuwabidilisha waumini kwenda huduma za waganga wa kienyeji
Sasa Anonymous hapo juu,yaani watu wakichoma majengo ya kanisa kisha ikaripotiwa (pasipo kuongeza mtazamo wangu binafsi) bado unashutumu kuwa nina chuki dhidi ya Waislam?Mbona wewe mwenye upendo umesbindwa japo kukemea uhalifu huo?Kumbuka dini ni upendo,iwe Uislam au Ukristo.Binafsi siwezi kuwahukumu Waislam wote kwa vile tu kikundi kidogo kimetenda uhalifu dhidi ya Wakristo,let alone kukuhukumu wewe.Katika imani yangu,tunafundishwa kujiepusha na kuwahukumu wengine lest be judged too.Mwenye mamlaka ya hukumu ni Muumba pekee.However,asante kwa maoni yako hata kama siafikiani nayo.
Inasikitisha!
ilipochomwa Quran Hatukukusikia au ulikuwa huna habari hizo
mlikaa kimya wewe na Rais wako mstafu Ali hasani na sasa
atapata vibao viwili paaa paaaa
Chahali, mimi ni msomaji sana wa blog yako, but inaonekana unachukia sana uislam sababu una bold sana habari za waislam tena unachagua mbaya tu kila nisomapo blog yako b4 chaguzi ilikuwa ccm sasa umehamia kwa uislam, why? cha ajabu unazungumzia kuchomwa moto kanisa unatoa picha ya watu wanaswali!!tafuta basi na habari nzuri pia zipo nyingi tu kuhusu uislam
ReplyDeleteMkuu,asante kwa comment.Kama nilivyoandika hapo chini ya picha,taswira hiyo haihusiani moja kwa moja na habari husika.Ni picha tu ya waumini wanaoswali.
ReplyDeleteNilitarajia badala ya kunilaumu kuwa nauchukia Uislamu ungewashutumu hao waliofanya vitendo vya kihalifu.
Pia naomba kukuhakikishia kuwa japo mie ni Mkristo,sina chuki yoyote na Waislamu.Naamini licha ya tofauti zetu kidini,sote tunapaswa kukemea watu wanaogeuza dini kuwa chanzo cha migogoro.Wanaonifahamu wanaweza kukuthibitishia ukaribu wangu na Uislam na Waislam.Naomba uamini hivyo.
Waislamu ni balaa la dunia. Kuwachukia ni halali na haki. Hata Muhammad aliwachukia akawaachia mfumo laanifu na mchafu kuliko hata nguruwe.
ReplyDeleteBack again Chahali, mtu akisoma heading yako then akaangalia picha b4 hajasoma maelezo uliyoandika, atakuwa na tafsiri kama, kuswali inamaanisha msimamo mkali which implies matendo mabaya, as u know picture speaks more than words. I dont blame u coz is just mtazamo wako binafsi but jaribu kuweka picha zinazo relate na habari directly. Huyo Anonymous 29/11/2010 02.05.bahati mbaya amebarikiwa upungufu wa mawazo pia ufinyu wa elimu unachangia
ReplyDeleteNimekuelewa ndugu yangu.Nitabadilisha hiyo picha.Samahani kama nimekwaza.
ReplyDeleteHao ni kawaida yao, waislamu mnafundishwa kuwachukukia wakristo mkiwa bado watoto wadogo, hiyo ni imo katika imani zenu. Kama ingekuwa hivyo basi nyote si muende mukaishi huko uarabuni, mbona mkifika nchi za watu mnaruhusiwa kujenga misikiti yenu na kuswali, huko kwenu mnaona wenzenu hawana haki grow up guys. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu muchungu.Anonymous 29 he is right na hajapungukiwa na kitu chochote na elimu anayo tosha zaidi yako 29/11 04.20
ReplyDeletenimechoka na watu kutumia dunia kama excuse ya kuact kama wanyama, hamna dini yeyote inafundisha kuchukia watu, kama dini inakufundisha chuki basi sio dini, sijui kwanini hatuwezi tukakaa kila mtu akaamini anavyotaka tueshimiane choice zetu, kuchoma kanisa unaprove nini, hata sielewi hata kidogo, kwanza waislam wa Kiafrica mnavojipendekeza kwa waarabu, they hate black people, sijui kupindekeza ndio nini, hasa hasa watawatumia kuwapandisha ndege, wake up and form your opinion ...
ReplyDeleteEwe uliemtukana muhamad na waislam,allah akusamehe na akuongoze njia ya haki... Amen
ReplyDeletevijana msikurupuke na udini someni upate kufuta ujinga mnafahamu zanzibar ukristo umefika kabla ya mama zenu ba babu zenu tena wanaishi kwa upendo somedi dini zenu YESSU NA MOHAMAD NI siyo wazungu ni watu wenye asili ya kiarabu mayahudi ni ndugu na warabu na asili yao ni siriya na lebanon siyo warabu wote waislam wapo arab jush jee unajuwa warabu na mayahudi ni kizazi kilichotoka kwa mtume Gink solomo ni babu wa wayahudi na wawarabu jee wewe mmatumbi unatokeya wapi? YESSU KAJA KWAAJILI YA KONDOO WALIOPOTEYA WA KIYAHUDI NA MOHAMAD KAJA KWA AJILI YA WARABU SASA WEWE MMATUMBI USIKURUPUKE
ReplyDeleteKwa mtazamo wangu, wewe unachuki binafsi na waislamu, habari zako nyingi unavyo report unajaribu kutengeneza chuki katika jamii..Hii ni moja wapo..
ReplyDeleteSasa bwana Chahali naona mwelekeo wa Blog na maoni yanaelekea njia isiyo sahihi, kujadili vitu vinanvyofundishwa kila iku makanisani na misikitini lakini havijaweza kuwabidilisha waumini kwenda huduma za waganga wa kienyeji
ReplyDeleteSasa Anonymous hapo juu,yaani watu wakichoma majengo ya kanisa kisha ikaripotiwa (pasipo kuongeza mtazamo wangu binafsi) bado unashutumu kuwa nina chuki dhidi ya Waislam?Mbona wewe mwenye upendo umesbindwa japo kukemea uhalifu huo?Kumbuka dini ni upendo,iwe Uislam au Ukristo.Binafsi siwezi kuwahukumu Waislam wote kwa vile tu kikundi kidogo kimetenda uhalifu dhidi ya Wakristo,let alone kukuhukumu wewe.Katika imani yangu,tunafundishwa kujiepusha na kuwahukumu wengine lest be judged too.Mwenye mamlaka ya hukumu ni Muumba pekee.However,asante kwa maoni yako hata kama siafikiani nayo.
ReplyDeleteInasikitisha!
ReplyDeleteilipochomwa Quran Hatukukusikia au ulikuwa huna habari hizo
ReplyDeletemlikaa kimya wewe na Rais wako mstafu Ali hasani na sasa
atapata vibao viwili paaa paaaa