Featured Posts

Thursday, March 31, 2011

Makala yangu Katika Jarida la Raia Mwema: "Usalama wa Taifa na Changamoto Mpya"


Makala yangu katika toleo la wiki hii la jarida mahiri la Raia Mwema inazungumzia changamoto zinazoikabili Idara yetu ya Usalama wa Taifa (TISS).BONYEZA HAPA kuisoma pamoja na habari na makala nyingine moto moto ndani ya jarida hili makini kwa habari na uchambuzi.

3 comments:

Malkiory Matiya said...

Bwana Chahali, huyu Almasi ni manamba wa CCM na mtumwa wa mawazo yake finyu. Nilichokigundua hapa ni kuwa aliguswa sana na hii article ndiyo maana ameamua kupoteza muda kuandika pumba zake hizi zilizoshiba chuki binafsi. Endelea kuwasha moto wala wala hakuna kurudi nyuma.

EVARIST said...

Asante mkuu Malkiory

Anonymous said...

nashukuru sana umeongolea suala hili muhimu so called "usalama wa taifa", maelezo yote ni sahihi kabisa. katika hali ambayo inashangaza kwa chombo hiki ambacho kimekuwa sio tena kina manufaa kwa taifa hili bali ni taasisi ambayo haikidhi masilahi ya watanzania tena. taasisi hii ni sehemu ya lundo la watu wanojiita maafisa waliopata Elimu duni sana na kupewa majukumu makubwa na mhimu kwa taifa hili, kutokana na ufinyu wa elimu walizo nazo wanaona wanapewa fadhila katika nafasi walizonazo, hii ni hatari sana kwa nchi, jingine ninaloweza kusema kuwa taasisi hii imekuwa ni mkono wa KUSHOTO kwa viongozi wachafu kuandama watu wanaoelekea kutishia madaraka ya watu hao.hakuna asiye jua yanayotokea ndani na nje ya taasisi hii.kama ccm wavyodai wanatakiwa waondoe gamba lao ambavyo sio rahisi hivyo taasisi hii nayo inatakiwa itupe gamba lake na kuajiri watu kwa masilahi ya taifa. mwandishi umekuwa na dhamila ya dhati kwa nchi yetu daima ukweli utakufanya uwe huru.

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India