Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
comment nzuri,i like that,hawa jamaa ni wezi sana,nakumbuka kipindi nahangaika kutafuta chuo pale bongo,nilikwendda mzumbe university,nakumbuka katika ujazaji wa zile loan form kuna mstari mmoja nakumbuka nilijaza kwa herufi ndogo na sikuwa na wino wa kufuta,then naambiwa hiyo form haitangaliwa na inabidi nitoe tena elfu kumi(10000)ili form nyingine mpya!!!!!!mmhhh kweli hamna elimu ilio bora kama ile ya mtaani.........bongo 'we acha tu'
mnh jamani kwa kweli hata mie nilipata shock pale niliposikia wadogo zangu wanasema eti tunajaza form za HELSB kabla ya matokeo, jamani jamani mbona visa vinazidi? Hivi huyu mtanzania anayeibiwa kwa EPA, RICHMOND, KIWIRA, BOT, NDEGE YA RAIS, RADA FEKI, KODI KUBWA, MSHAHARA MDOGO, NJAA, UMEME BEI JUU, NA BADO form za HELSB nazo zinakuwa bahati nasibu, jamani jamani mbona machozi yanantoka mie. Hivi ina maana tuna makosa ya kuwaweka hawa jamaa zetu kutuendeshea nchi? Au nao HELSB wameona bora na wao wachukue chao mapema ili wapate visenti vya kuweka offshore accounts? Kilio kilio kwa mtanzania jamani
comment nzuri,i like that,hawa jamaa ni wezi sana,nakumbuka kipindi nahangaika kutafuta chuo pale bongo,nilikwendda mzumbe university,nakumbuka katika ujazaji wa zile loan form kuna mstari mmoja nakumbuka nilijaza kwa herufi ndogo na sikuwa na wino wa kufuta,then naambiwa hiyo form haitangaliwa na inabidi nitoe tena elfu kumi(10000)ili form nyingine mpya!!!!!!mmhhh kweli hamna elimu ilio bora kama ile ya mtaani.........bongo 'we acha tu'
ReplyDeletemnh jamani kwa kweli hata mie nilipata shock pale niliposikia wadogo zangu wanasema eti tunajaza form za HELSB kabla ya matokeo, jamani jamani mbona visa vinazidi? Hivi huyu mtanzania anayeibiwa kwa EPA, RICHMOND, KIWIRA, BOT, NDEGE YA RAIS, RADA FEKI, KODI KUBWA, MSHAHARA MDOGO, NJAA, UMEME BEI JUU, NA BADO form za HELSB nazo zinakuwa bahati nasibu, jamani jamani mbona machozi yanantoka mie. Hivi ina maana tuna makosa ya kuwaweka hawa jamaa zetu kutuendeshea nchi? Au nao HELSB wameona bora na wao wachukue chao mapema ili wapate visenti vya kuweka offshore accounts? Kilio kilio kwa mtanzania jamani
ReplyDelete