
Binti aitwaye
MAGDALENA THOMAS KATIMAKAMU (alias
NJEA) anawatafuta Baba yake
THOMAS KATIMAKAMU na Mama yake
SELINA NDIMINI,ambao inasemekana wanaishi NAIROBI,nchini KENYA.Magdalena,ambaye kwa sasa anaishi Ifakara, alipoteana na wazazi wake mwaka 1989 walipokuja Tanzania mara ya mwisho.Yeyote anayewfahamu wazazi hao anaombwa kufikisha salamu hizo.Kwa mawasiliano zaidi,waweza kutuma barua-pepe kwa pol198@abdn.ac.uk au sms/simu kwa +255773957709/+255783957709 au +447814843356.Asanteni
Email This
BlogThis!
Share to Facebook
No comments :
Post a Comment