Featured Posts

Friday, November 14, 2008

DESTINATION 1600 PENNSYLVANIA AVENUE: SAFARI YA NDUGU ZAKE OBAMA IMEIVA

Nimetumiwa hii na jamaa yangu mmoja mkereketwa wa Muungano wa Afrika Mashariki
Safari ya kwenda 'Nyumba Nyeupe' imeiva!!! A picture is worth a thousand words !.Duu ndugu zake Obama from Kenya ambitiously paying a visit to the state House in USA. 
No Visa with them! Furious, they don't want to be stopped. Mtafika kweli? Na wabongo wachache wamo, eti sisi ni majirani!!
HAHAHAHA....MWAKA HUU NI WA WATANI WA JADI...IDUMU EAST AFRICAN SPIRIT !!!

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India