Featured Posts

Tuesday, December 09, 2008

DADA SOPHIA AKAMATA MSc YAKE ABERDEEN





Pichani juu ni dada SOPHIA RWANGA mara baada ya kukamata nondo yake ya  MSc in Geospatial Information Systems hapo University of Aberdeen.Picha zifuatazo hapo chini ni shamrashamra za mahafali hayo katika chuo hiki kilichoanzishwa mwaka 1495,the third oldest in Scotland,and the fifth oldest in the UK.

2 comments:

SIMON KITURURU said...

Hongera DADA!

Markus Mpangala said...

duu hongera zake sana, sisi hapa ndiyo tunajaza fomu za kurejea vyuo tena yaani ipo kazi. sijui itakuwaje. nampongeza sana mungu amlinde daima LAKINI kaka sijui kwanini upo nje ya safu yako ya RAIA MWEMA UGHAIBUNI nimekukosa sana sijui kwanini kwani hata Inno Mwesiga kule Houston naye kimya duuh

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India