Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Nimezisoma comments kwa uangalifu sana. Kwa maoni yangu sijaona mtu anayesema MwanaFA anadanganya kuhusu Masters yake ambayo wewe umesema amehitimu. Nahisi Bw Chahali umekuwa too emotional kwa sababu watu wamekuwa na viewpoints zinazokinzana na zako. Wewe umeandika kuwa MwanaFA amefuzu Masters katika Chuo Kikuu cha Coventry. Sasa suala la atamaliza lini kozi hiyo linatoka wapi kama ameshahitimu? Pili, kwa nini asema, na wewe umerudia, kuwa mtu hahitaji kuwa na Masters kufanya muziki mzuri? Huoni kuna mkanganyiko katika statements zilizotolewa? Hakuna anayesema kuwa Masters au PhD inanfanya mtu awe hip hop artist mzuri. Aidha, kuwa na jina kubwa ndani na nje ya Tanzania hukuwazuii watu kuhoji mambo fulani. Pongezi atapewa, lakini criticisms kama ziko valid zitakuwepo. Freedom of expression inaturuhusu tuwe na mawazo tofauti. Nafikiri azichukulie hizo criticisms constructively. Tusitukanane, kukejeliana, au kudhalilishana. Tuwe na amani.
Evarist huwajibiki kumtetea MwanaFA, mwache aeleze his side of the story. Pili, kama unadai kuwa elimu yake ni suala ambalo ni personal, basi mafanikio yake ya muziki ni personal. Kwa nini hili la pili unaruhusu watu kuuliza, lakini la kwanza hutaki? Tatu, mbona elimu yake ya IFM unitaja halafu unazuia watu kutoa maoni kuhusu suala la Masters?
Ufahamu kuwa kuna baadhi waTanzania waliosoma au wanaosoma Coventry University. Kwa hiyo, inaonekana kuna kitu fulani ndiyo ambacho hakiko wazi wadau wa muziki wanataka kufahamu MwanaFA. Utetezi wako umeleta mkanganyiko zaidi. Aidha, unaonyesha kuwa unataka watu wote watoe pongezi kwa MwanaFA hata pale pasipositahiki.
Safi sana anonymous hapo juu.
Evarist kuna options kadhaa ambazo ungechukua:
1) Kutoeleza kabisa kuhusu elimu ya MwanaFA
2) Kueleza elimu yake na kusema kuwa wadau wasichangie kuhusu suala la elimu yake.
3) Kutoweka sehemu ya kutoa comments ili tupate maelezo kutoka kwake na kwako.
Nikukumbushe hata nyumbani mawaziri, wabunge na public figures wanaulizwa kuhusu elimu yao. Kwa hiyo siyo jambo geni sana kwa MwanaFA.
Mwisho, tumkumbushe MwanaFA kuwa unapokuwa unajulikana, basi issue yako ndogo sana inakuwa a public maatter.
Otherwise, I wish you the best in your endeavours.
Ndugu Chahali.
Hutaki watu wachangine maada hapa kwenye blog yako? Mbona lugha yako imekuwa kali sana? Labda wewe ni mmoja wa fans wa MwanaFA na unafikiri baadhi ya comments zinamshusha chini? Mbona sijaona jambo lolote baya?
Halafu umesahau kitu kimoja anayedai kitu fulani ndiye anatakiwa kuthibitisha kitu hicho (he who alleges must prove). Wewe na MwanaFA ndiyo mnaodai kuwa MwanaFA amehitimu na ana shahada ya uzamili. Sasa iweje wanaouliza wathibitishe wanachotaka kujua?
Let's be fair jamani.
Samahani waungwana kama nimewakwaza kwa mchango wangu.Kama nilivyosema sipingani na mawazo yoyote,na nawasihi muendelee na michango yenu maridhawa ya mawazo.Karibuni sana.
Ndugu yangu Evarist. Asante sana kwa mahojiano. Nimefurahishwa sana kuona msanii wa nyumbani akijiendeleza kielimu. Naamini kuwa wachangiaji katika mahojiano yako na MwanaFA na hapa wana hoja halali ya kuuliza kuhusu suala la elimu ya msanii huyu. Hii ni kwa sababu suala hili limetajwa. Kama lisingetajwa, basi wasingeuliza. Pili, sijaona mtu aliyetukana wala kutoa kauli mbaya dhidi ya kijana wetu MwanaFA.
Ningeshauri kuwa kwa sababu mawasiliano siyo tatizo mwandikie msanii huyo kwa barua pepe ya siri (tembelea tovuti yake utapata anuani yake). Akikubali, atakupa maelezo ambayo unaweza kuyaleta kama maelezo ya nyongeza. Vinginevyo, credibility yako kama blogger na MwanaFA vitaingia dosari. Wewe ni mtafiti, fanya mambo kitafiti. Mungu Ibariki Tanzania
duh hii inadhihirisha ni jinsi gani sisi watanzania tunaweza kugeuza maneno .... kifupi ni kwamba jamaa alivyoeleza hataki kuchanganya mziki wake na elimu yake mtu kapick neno huhitaji MSC kufanya mziki mzuri,, Mimi binafsi nipo Coventry Uni na jamaa amemaliza masters yake na alikuwa akifanya na bwana mdogo Jabir na wote baada tu ya kumaliza wamerudi nyumbani kuendeleza gurudumu la maisha, mi sio msemaji wa FA ila hilo nalifaham kwa kuwa wao cozi yao iliisha mapema ingawa tulikuwa tunaintaract kwenye baadhi ya vipindi kwani wao ni MSC na sisi ni MBA ingawa nijuavyo mimi graduation ni mpaka mwezi wa sita nadhanbi kwenye 24th hivi.
Huo ni mtazamo wangu tu jamani msijenge chuki.....
Nimezisoma comments kwa uangalifu sana. Kwa maoni yangu sijaona mtu anayesema MwanaFA anadanganya kuhusu Masters yake ambayo wewe umesema amehitimu. Nahisi Bw Chahali umekuwa too emotional kwa sababu watu wamekuwa na viewpoints zinazokinzana na zako. Wewe umeandika kuwa MwanaFA amefuzu Masters katika Chuo Kikuu cha Coventry. Sasa suala la atamaliza lini kozi hiyo linatoka wapi kama ameshahitimu? Pili, kwa nini asema, na wewe umerudia, kuwa mtu hahitaji kuwa na Masters kufanya muziki mzuri? Huoni kuna mkanganyiko katika statements zilizotolewa? Hakuna anayesema kuwa Masters au PhD inanfanya mtu awe hip hop artist mzuri. Aidha, kuwa na jina kubwa ndani na nje ya Tanzania hukuwazuii watu kuhoji mambo fulani. Pongezi atapewa, lakini criticisms kama ziko valid zitakuwepo. Freedom of expression inaturuhusu tuwe na mawazo tofauti. Nafikiri azichukulie hizo criticisms constructively. Tusitukanane, kukejeliana, au kudhalilishana. Tuwe na amani.
ReplyDeleteEvarist huwajibiki kumtetea MwanaFA, mwache aeleze his side of the story. Pili, kama unadai kuwa elimu yake ni suala ambalo ni personal, basi mafanikio yake ya muziki ni personal. Kwa nini hili la pili unaruhusu watu kuuliza, lakini la kwanza hutaki? Tatu, mbona elimu yake ya IFM unitaja halafu unazuia watu kutoa maoni kuhusu suala la Masters?
ReplyDeleteUfahamu kuwa kuna baadhi waTanzania waliosoma au wanaosoma Coventry University. Kwa hiyo, inaonekana kuna kitu fulani ndiyo ambacho hakiko wazi wadau wa muziki wanataka kufahamu MwanaFA. Utetezi wako umeleta mkanganyiko zaidi. Aidha, unaonyesha kuwa unataka watu wote watoe pongezi kwa MwanaFA hata pale pasipositahiki.
Safi sana anonymous hapo juu.
ReplyDeleteEvarist kuna options kadhaa ambazo ungechukua:
1) Kutoeleza kabisa kuhusu elimu ya MwanaFA
2) Kueleza elimu yake na kusema kuwa wadau wasichangie kuhusu suala la elimu yake.
3) Kutoweka sehemu ya kutoa comments ili tupate maelezo kutoka kwake na kwako.
Nikukumbushe hata nyumbani mawaziri, wabunge na public figures wanaulizwa kuhusu elimu yao. Kwa hiyo siyo jambo geni sana kwa MwanaFA.
Mwisho, tumkumbushe MwanaFA kuwa unapokuwa unajulikana, basi issue yako ndogo sana inakuwa a public maatter.
Otherwise, I wish you the best in your endeavours.
Ndugu Chahali.
ReplyDeleteHutaki watu wachangine maada hapa kwenye blog yako? Mbona lugha yako imekuwa kali sana? Labda wewe ni mmoja wa fans wa MwanaFA na unafikiri baadhi ya comments zinamshusha chini? Mbona sijaona jambo lolote baya?
Halafu umesahau kitu kimoja anayedai kitu fulani ndiye anatakiwa kuthibitisha kitu hicho (he who alleges must prove). Wewe na MwanaFA ndiyo mnaodai kuwa MwanaFA amehitimu na ana shahada ya uzamili. Sasa iweje wanaouliza wathibitishe wanachotaka kujua?
Let's be fair jamani.
Samahani waungwana kama nimewakwaza kwa mchango wangu.Kama nilivyosema sipingani na mawazo yoyote,na nawasihi muendelee na michango yenu maridhawa ya mawazo.Karibuni sana.
ReplyDeleteNdugu yangu Evarist. Asante sana kwa mahojiano. Nimefurahishwa sana kuona msanii wa nyumbani akijiendeleza kielimu. Naamini kuwa wachangiaji katika mahojiano yako na MwanaFA na hapa wana hoja halali ya kuuliza kuhusu suala la elimu ya msanii huyu. Hii ni kwa sababu suala hili limetajwa. Kama lisingetajwa, basi wasingeuliza. Pili, sijaona mtu aliyetukana wala kutoa kauli mbaya dhidi ya kijana wetu MwanaFA.
ReplyDeleteNingeshauri kuwa kwa sababu mawasiliano siyo tatizo mwandikie msanii huyo kwa barua pepe ya siri (tembelea tovuti yake utapata anuani yake). Akikubali, atakupa maelezo ambayo unaweza kuyaleta kama maelezo ya nyongeza. Vinginevyo, credibility yako kama blogger na MwanaFA vitaingia dosari. Wewe ni mtafiti, fanya mambo kitafiti. Mungu Ibariki Tanzania
duh hii inadhihirisha ni jinsi gani sisi watanzania tunaweza kugeuza maneno .... kifupi ni kwamba jamaa alivyoeleza hataki kuchanganya mziki wake na elimu yake mtu kapick neno huhitaji MSC kufanya mziki mzuri,, Mimi binafsi nipo Coventry Uni na jamaa amemaliza masters yake na alikuwa akifanya na bwana mdogo Jabir na wote baada tu ya kumaliza wamerudi nyumbani kuendeleza gurudumu la maisha, mi sio msemaji wa FA ila hilo nalifaham kwa kuwa wao cozi yao iliisha mapema ingawa tulikuwa tunaintaract kwenye baadhi ya vipindi kwani wao ni MSC na sisi ni MBA ingawa nijuavyo mimi graduation ni mpaka mwezi wa sita nadhanbi kwenye 24th hivi.
ReplyDeleteHuo ni mtazamo wangu tu jamani msijenge chuki.....