Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Kwa ushujaa na ujasiri alionesha katika kipindi chote huko nyuma na kuleta mwamko katika bunge hili letu lenye sifa kuwa na baadhi wabunge tangu mwanzo vikao vya bunge mpaka kuvunjwa kwa bunge bila kuuliza ama kuchangia jambo lolote, na pamoja kuwa matatizo lukuki yanayoikabili serikali na watendaji wake na pia wananchi na umaskini na ufakara wa kutupwa.
Naamini Dk Slaa ni chaguo sahihi kwa kiti cha Urais kwa Tanzania ya sasa ili kuwa na serikali thabiti inatakiwa kuwa na kiongozi jasiri kupambana na uhozo uliopo serikalini na kwa maisha ya mtanzania kwa ujumla. Hivyo uwezo na ujasiri alionesha Dr Slaa naona ni chagua sahihi kabisa kwa sababu ana sifa zinazostahili na uwezo kulinganisha na mgombea wa CCM.
Tanzania hii ya sasa inahitaji kiongozi anayeweza kutambua matatizo, kutafuta suluhisho na muda mfupi na mkakati muda mrefu na endelevu na kufanya tathmini ya kuendeleza miradi iliyopo na kuendelea kutambua matatizo yanayojitokeza.
JK uwezo alionesha kutambua matatizo na siyo kupata suluhisho ya matatizo na kufanya tathmini endelevu. Hivyo Tanzania ya leo haihitaji Rais wa namna yake.
Isipokuwa Chadema wanatakiwa kuwa makini na watu wanaojitokeza kusema wako tayari kumsaidia Dk Slaa katika kukampeni, kama hao waliokwisha shiriki kikamilifu katika kuhua nguvu na vuguvugu la kweli la vyama Tanzania...
Kifupi watu kama Hao wakina Marando ni maadui wa siasa vyama vingi katika Tanzania yetu ya leo na ushahidi hupo na kila mtanzania mpenda demokrasia ya vyama vingi anafahamu fika kuhusu hili.
Ningependa kusema na kuwakumbusha Chadema wanatakiwa kufikiria mara mbili kukaribisha watu wa namna ya kina Marando hasa kipindi hiki..
KWELI UMENENA JAMBO MARANDO HAFAI KUJIUNGA CHADEMA HUYO NI USALAMA WA TAIFA ASIJE AKATUHARIBIA HUYO
Kwa ushujaa na ujasiri alionesha katika kipindi chote huko nyuma na kuleta mwamko katika bunge hili letu lenye sifa kuwa na baadhi wabunge tangu mwanzo vikao vya bunge mpaka kuvunjwa kwa bunge bila kuuliza ama kuchangia jambo lolote, na pamoja kuwa matatizo lukuki yanayoikabili serikali na watendaji wake na pia wananchi na umaskini na ufakara wa kutupwa.
ReplyDeleteNaamini Dk Slaa ni chaguo sahihi kwa kiti cha Urais kwa Tanzania ya sasa ili kuwa na serikali thabiti inatakiwa kuwa na kiongozi jasiri kupambana na uhozo uliopo serikalini na kwa maisha ya mtanzania kwa ujumla. Hivyo uwezo na ujasiri alionesha Dr Slaa naona ni chagua sahihi kabisa kwa sababu ana sifa zinazostahili na uwezo kulinganisha na mgombea wa CCM.

ReplyDelete