Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Huyu mzee sijawahi kuelewa kauli zake,huwa hajui anawaambia wakina nani na akiwa kama nani au uwezo wake mdogo wa kupambanua mambo?
JK ana very low IQ,poor vision,na ameloose touch na reality. Kweli anafikiri watanzania ni wajinga kiasi hiki. Kauli zake mara kwa mara zinaonyesha mtu aliyelewa madaraka na asiyejali. Hivi kweli chama kikubwa kama hicho bado kinaimani na mtu mwenye thinking capacity ya JK? Nashindwa kulitafakari hili.I am very disappointed with my country. Inakuwaje mtu anakua anasema chochote anachojisikia bila kuwa-sensitive na maisha ya watu. Ni juzijuzi tu alisema miaka mitano ya kwanza ilikua yakujifunza urais maana uraisi hauna chuo. What a cheap shot. Uraisi ni leadership and management of people and resources. As long as you have a good plan and a team to implement hakuna kipya. Kwanini watanzania tunashindwa kuliona hili. Ni afadhali kutokupiga kura kabisa kuliko kutoa kura kwa mtu unayejua is just a "ceremonial leader' Tumechoka na maneno tunataka implementation please. Tuambie kwa takwimu mafanikio yako ya miaka mitano iliyopita hatutaki nyimbo it is ENOUGH!
Kuchanganua mambo kwa kina tunahitajika kupata changamoto ambazo zitaleta na kujenga ubunifu. Kimsingi maarifa yanajengwa na taaluma ambayo kivitendo imetoweka katika maisha ya Mtanzania wa kawaida.
Na hata hao wenye hayo maarifa(tabaka la kati) wamebweteka na kwa hayo wanayofikiri na kuona kwamba ni mafanikio katika maisha yao binafsi.
Viongozi waliopo madarakani kama huyu JK wanatambua udhaifu hivyo wanatumia kama kanuni yao wao kuendelea kuwa madarakani..Siasa na maendeleo yatategemea kuamka na kuwa wabunifu kwa watanzania wote.
Watanzania wataweza kutambua kuelemea kwenye chama kimoja tuu cha kisiasa ndiyo chanzo matatizo yote tunayoona leo hata kuwa na viongozi wababaishaji na bora liende kuanzia ngazi ya mwenyekiti kijiji hadi Rais. Ndiyo itakuwa chachu ya mabadiliko ya kweli katika siasa na maendeleo ya nchi kiuchumi.
Hivi sasa Tanzania ni ya vyama vingi katika vitabu na Katiba, Akilini mwa watanzania wengi tafsiri ya vyama kwao ni kwamba chama chochote cha siasa nje ya CCM ni waahasi tena wakipewa nchi wataleta vita..Hii ndiyo hali halisi kimtazamo katika masuala ya siasa na mfumo wa vyama vingi. Kura ya mtanzania itaanza kuwa na thamani tuu pale watakapotambua vyama vya siasa katika Tanzania ya leo ni sawa kampuni za simu Vodacom, Tigo, TTCL nk kwamba kupatikani kwa wateja wa simu kunaletwa na tija na ufanisi na siyo Jina la kampuni.
Hivi sasa Watanzania walio wengi wanachagua na kumpigia Rais kutokana chama siasa na siyo ubora na ubunifu wa mgombea.
Nakubaliana na anon hapo juu na ndio maana utagundua vijana wengi waliochukua fomu zakugombania ubunge wengi wanechukua kwa tiketi ya ccm. Sio kwamba wanaamini sera za ccm ni safi lakini wanafikiri ndio njia rahisi yakushinda.Hii inaonyesha tunavyopenda mambo rahisi nasio yaku-struggle/work hard from the scratch. Tunapenda kutafuniwa alafu tumeze. Kwa urahisi huu sidhani kama Taifa litaendelea. Kila kitu ni ku-copy na ku-paste hamna mtu anafikiria outside the box. Kwakweli inakatisha sana tamaa.Mimi ni mwanamke lakini sioni umuhimu wa viti maalum. Kwanini wanawake wasigombanie kama wengine wanavyogombania kwenye majimbo?? Hii ni karne ya 21 lazima tu-prove tunauwezo wakufikiri nasio kupewa nafasi tu.Tukitafuta wenyewe kwanguvu zetu tutaona umuhimu/value ya jasho letu lakini sio kupewa tu. Ah! Nina wasiwasi bunge linalokuja linaweza kuwa na wabunge wenye uwezo mdogo sana wakufikiri wasiojua hata mikataba mibovu na safi inatofautishwa vipi.Huwezi kukimbilia kuongoza jimbo kama huna leadership/management skills (both for people and resources). Ubunge ni watu na kama unataka ufanisi jimboni itakubidi uwe karibu na watu uwaelewe matatizo yao, ujue research sio unaagiza tu unaletewa fake data unazi-present, ujue kutafuta wawekezaji kwenye jimbo lako,etc hiyo ndio everyday job. Hii ni hatari saana kama kuna watu wanakimbilia ubunge with no plan and vision. Kiongozi ni mzigo nasioni kwanini watu wanaukimbilia kiasi hiki naona maana ya uongozi imepotea Tanzania.
Said is very right, Mimi huwa sijisikii kumsikiliza kwani anaongea kama mtu asiyefahamu jambo lolote,Kwani washauri wake ni kina nani? Kama ni makamba na chiligati unategemea nini? Watanzania tuache utani kama ni meli inaenda mrama, tushikamane na kudai haki zetu bila hofu, Tuache woga na ushabiki wa kijinga.
Huyu mzee sijawahi kuelewa kauli zake,huwa hajui anawaambia wakina nani na akiwa kama nani au uwezo wake mdogo wa kupambanua mambo?
ReplyDeleteJK ana very low IQ,poor vision,na ameloose touch na reality. Kweli anafikiri watanzania ni wajinga kiasi hiki. Kauli zake mara kwa mara zinaonyesha mtu aliyelewa madaraka na asiyejali. Hivi kweli chama kikubwa kama hicho bado kinaimani na mtu mwenye thinking capacity ya JK? Nashindwa kulitafakari hili.I am very disappointed with my country. Inakuwaje mtu anakua anasema chochote anachojisikia bila kuwa-sensitive na maisha ya watu. Ni juzijuzi tu alisema miaka mitano ya kwanza ilikua yakujifunza urais maana uraisi hauna chuo. What a cheap shot. Uraisi ni leadership and management of people and resources. As long as you have a good plan and a team to implement hakuna kipya. Kwanini watanzania tunashindwa kuliona hili. Ni afadhali kutokupiga kura kabisa kuliko kutoa kura kwa mtu unayejua is just a "ceremonial leader' Tumechoka na maneno tunataka implementation please. Tuambie kwa takwimu mafanikio yako ya miaka mitano iliyopita hatutaki nyimbo it is ENOUGH!
ReplyDeleteKuchanganua mambo kwa kina tunahitajika kupata changamoto ambazo zitaleta na kujenga ubunifu. Kimsingi maarifa yanajengwa na taaluma ambayo kivitendo imetoweka katika maisha ya Mtanzania wa kawaida.
ReplyDeleteNa hata hao wenye hayo maarifa(tabaka la kati) wamebweteka na kwa hayo wanayofikiri na kuona kwamba ni mafanikio katika maisha yao binafsi.
Viongozi waliopo madarakani kama huyu JK wanatambua udhaifu hivyo wanatumia kama kanuni yao wao kuendelea kuwa madarakani..Siasa na maendeleo yatategemea kuamka na kuwa wabunifu kwa watanzania wote.
Watanzania wataweza kutambua kuelemea kwenye chama kimoja tuu cha kisiasa ndiyo chanzo matatizo yote tunayoona leo hata kuwa na viongozi wababaishaji na bora liende kuanzia ngazi ya mwenyekiti kijiji hadi Rais. Ndiyo itakuwa chachu ya mabadiliko ya kweli katika siasa na maendeleo ya nchi kiuchumi.
Hivi sasa Tanzania ni ya vyama vingi katika vitabu na Katiba, Akilini mwa watanzania wengi tafsiri ya vyama kwao ni kwamba chama chochote cha siasa nje ya CCM ni waahasi tena wakipewa nchi wataleta vita..Hii ndiyo hali halisi kimtazamo katika masuala ya siasa na mfumo wa vyama vingi. Kura ya mtanzania itaanza kuwa na thamani tuu pale watakapotambua vyama vya siasa katika Tanzania ya leo ni sawa kampuni za simu Vodacom, Tigo, TTCL nk kwamba kupatikani kwa wateja wa simu kunaletwa na tija na ufanisi na siyo Jina la kampuni.
Hivi sasa Watanzania walio wengi wanachagua na kumpigia Rais kutokana chama siasa na siyo ubora na ubunifu wa mgombea.
Nakubaliana na anon hapo juu na ndio maana utagundua vijana wengi waliochukua fomu zakugombania ubunge wengi wanechukua kwa tiketi ya ccm. Sio kwamba wanaamini sera za ccm ni safi lakini wanafikiri ndio njia rahisi yakushinda.Hii inaonyesha tunavyopenda mambo rahisi nasio yaku-struggle/work hard from the scratch. Tunapenda kutafuniwa alafu tumeze. Kwa urahisi huu sidhani kama Taifa litaendelea. Kila kitu ni ku-copy na ku-paste hamna mtu anafikiria outside the box. Kwakweli inakatisha sana tamaa.Mimi ni mwanamke lakini sioni umuhimu wa viti maalum. Kwanini wanawake wasigombanie kama wengine wanavyogombania kwenye majimbo?? Hii ni karne ya 21 lazima tu-prove tunauwezo wakufikiri nasio kupewa nafasi tu.Tukitafuta wenyewe kwanguvu zetu tutaona umuhimu/value ya jasho letu lakini sio kupewa tu. Ah! Nina wasiwasi bunge linalokuja linaweza kuwa na wabunge wenye uwezo mdogo sana wakufikiri wasiojua hata mikataba mibovu na safi inatofautishwa vipi.Huwezi kukimbilia kuongoza jimbo kama huna leadership/management skills (both for people and resources). Ubunge ni watu na kama unataka ufanisi jimboni itakubidi uwe karibu na watu uwaelewe matatizo yao, ujue research sio unaagiza tu unaletewa fake data unazi-present, ujue kutafuta wawekezaji kwenye jimbo lako,etc hiyo ndio everyday job. Hii ni hatari saana kama kuna watu wanakimbilia ubunge with no plan and vision. Kiongozi ni mzigo nasioni kwanini watu wanaukimbilia kiasi hiki naona maana ya uongozi imepotea Tanzania.
ReplyDeleteSaid is very right, Mimi huwa sijisikii kumsikiliza kwani anaongea kama mtu asiyefahamu jambo lolote,Kwani washauri wake ni kina nani? Kama ni makamba na chiligati unategemea nini? Watanzania tuache utani kama ni meli inaenda mrama, tushikamane na kudai haki zetu bila hofu, Tuache woga na ushabiki wa kijinga.
ReplyDelete