Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Hali hii ya wanadola kujiua si picha nzuri kwa hakika. Hii inaashiria kukosekana kwa usalama kwa wanadola wenyewe, raia wa kawaida na Viongozi pia. Ufuatiliaji wa haraka watakiwa kuhusiana na hili, kwani hapo badae madhara yanaweza kuwa makubwa zaidi. Ni hatari pia kwa wale walindwao masaa yote ishirini na manne, kwa kila walipo na kwa kila walifanyalo.
kila siku sisi wachangiaji tunaomba kuwe na total reform ya Jeshi la Polisi...
Kuanzia recruitment kama vile kujumuisha pia watu wenye taaluma mbalimbali bila kuweka vikwazo vya umri ili kupata cream ya uongozi wa kisasa..Vinginenvyo tutaendelea kuweka viraka kwenye nguo chakavu...
Mfumo na utawala wa jeshi umepitwa na wakati. Jeshi la Polisi linatakiwa kuendeshwa kisasa na watu wenye taaluma ya sasa na exposure pia...
Haya matukio yantokea sasa ni matokeo tuu ya utandawazi ambao ili kupambana nao tunatakiwa kufanya vitu kwa pamoja kuweka mipango na mikakati ya muda mfupi na mrefu pia.
Vinginevyo haya matukio yataendelea na hata pia kuleta hasara huko siku zijazo yakafikia hata kushambuliwa na askari wengine katika hali hii ya mifadhaiko
Unadhani huyo mdada kajipiga risasi kweli kwa akili ya kawaida? Risasi nne kweli?
Hiyo ni kazi ya UwT, asikudanganye mtu!!1
Hali hii ya wanadola kujiua si picha nzuri kwa hakika. Hii inaashiria kukosekana kwa usalama kwa wanadola wenyewe, raia wa kawaida na Viongozi pia. Ufuatiliaji wa haraka watakiwa kuhusiana na hili, kwani hapo badae madhara yanaweza kuwa makubwa zaidi. Ni hatari pia kwa wale walindwao masaa yote ishirini na manne, kwa kila walipo na kwa kila walifanyalo.
ReplyDeletekila siku sisi wachangiaji tunaomba kuwe na total reform ya Jeshi la Polisi...
ReplyDeleteKuanzia recruitment kama vile kujumuisha pia watu wenye taaluma mbalimbali bila kuweka vikwazo vya umri ili kupata cream ya uongozi wa kisasa..Vinginenvyo tutaendelea kuweka viraka kwenye nguo chakavu...
Mfumo na utawala wa jeshi umepitwa na wakati. Jeshi la Polisi linatakiwa kuendeshwa kisasa na watu wenye taaluma ya sasa na exposure pia...
Haya matukio yantokea sasa ni matokeo tuu ya utandawazi ambao ili kupambana nao tunatakiwa kufanya vitu kwa pamoja kuweka mipango na mikakati ya muda mfupi na mrefu pia.
Vinginevyo haya matukio yataendelea na hata pia kuleta hasara huko siku zijazo yakafikia hata kushambuliwa na askari wengine katika hali hii ya mifadhaiko
Unadhani huyo mdada kajipiga risasi kweli kwa akili ya kawaida? Risasi nne kweli?
ReplyDeleteHiyo ni kazi ya UwT, asikudanganye mtu!!1