Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Hawa watu wa CCM hawataki kukiri kuwa safari hii wamemsimamisha mgombea mabaye afya yake inatia mashaka. Kama hawapo makini inaweza kuwapotezea watanzania imani.
Matukio ya kuanguka kwa Kiongozi wetu, Mkuu wa Nchi yanatisha na kila mara sababu ni kama zinafanafa (Sukari kushika, swaumu, BP) nk. Huyu mtu ambae ana madaktari wake wa karibu (tofauti na watanzania wa kawaida) wanashindwaje kumpima kabla hajasimama jukwaani?. Hii ni fedheha kwa mataifa kuwa na kiongozi ambae hapatiwi huduma za afya za kiuchunguzi wa kina. Ni fedheha kuwa na wana usalama ambao wanashindwa hata kubaini afya ya Rais na kumsaidia mapema.
SEHEMU YA PILI(Wakati anaanguka)
http://www.youtube.com/v/0S2AE3xXR-Q..._embedded&fs=1
SEHEMU YA MWISHO(Baada ya kuanguka)
http://www.youtube.com/v/dJIemqlBK4Q..._embedded&fs=1
Afadhali angekufa si kuanguka. Ni ushirikina na madhambi yake ya kuwachuuza watanzania yanayomrudi. Malipo ni hapa hapa duniani. Namuombea afe haraka ili nchi yetu ikombolewe.
Inawezekana ameshachunguzwa sana nakupewa taarifa kamili ya afya yake lakini daktari hawezi kumlazimisha mgonjwa kupumzika. Mimi binafsi sina chama lakini nitampigia kura mgombea yule anayeonyesha uwezo na si vinginevyo. Nilimpigia kura Mkapa sababu niliamini aliosimamishwa nao wote hawakuwa wanampita kiwango cha uongozi. Na sasa nampigia Dr. Slaa kwasababu amenidhibitishia ana uwezo wakupewa mzigo wa uongozi kipindi chote alichokua mbunge. Hakuwa mtawala bali mtumishi wa wananchi. Amekuwa anapigania maslahi ya wananchi nakuweka maisha yake hatarini kwaajili ya Tanzania. Who else anaweza akainyooshea kidole CCM akiwa na evidence bila kuogopa? Asingekua Dr. Slaa nani angejua EPA na utajiri waliojilimbikizia wachache Tanzania? Nchi imeoza na nchi imeuzwa lakini Raisi bado anazungumzia mafanikio asioweza kuyataja takwimu zake. Amekua very general kama mtu asiyekuwa na taaluma yeyote. Viongozi wake wanafoji vyeti yeye anafumbia macho swala hilo. Hivi mtu atakua na cheti cha darasa la saba na cha computer alafu anakua mbunge. Mtu huyu anaweza kugundua mikataba halali na mibovu? Mtu huyu anaweza akachambua bajeti kweli? Mtuhumiwa wa mauaji ya albino kweli anapitishwa kwenye kura za maoni? Mtuumiwa wa ufujaji wa mali ya umma anapitishwa kwenye kura za maoni? Ukishatuhumiwa wewe haustahili uongozi wowote mpaka kesi yako imalizike vyombo husika vikusafishe. Huu ni uozo uliokithiri kwenye uongozi wa Raisi Kikwete. Raisi anachokizungumza hakiendani na anachokitenda. Ukiangalia viti maalum hakuna mwakilishi wa mkulima wala mfanyakazi. Nalazimika kusema viti maalum vimewekwa kwaajili yakutoa fadhila wanazozijua wao. Kama wanawake wengine kama Anna Tibaijuka wanaweza kugombania wakapata kura then viti maalum vinakazi hipi hasa???
Una mawazo mazuri,lakini hayana impact kwa kuwa wengi wa hao wanaosoma hizi habari kwenye mitandao si wapiga kura. Wapiga kura wapo vijijini. Tafuteni namna ya kuwafikia hao.
Anonymous wa 16:47....
Kuna redio stesheni nyingi tuu za masafa ya fm. Kimsingi zinaweza kuwafikia wananchi waliopo vijini hata sehemu zisizofikika kwa urahisi, kwa kuandaa vipindi maalum, kutoa maelezo na habari zilizojiri kwenye hizi blogu kama hii hapa ya ughaibuni kilichomo ndani yake, isipokuwa serikali iliyopo madarakani ukifanya hivyo kuna nafasi kubwa sana ya kituo hicho redio kuwekewa zengwe kwa namna nyingine ili kifungiwe...
Mfano angalia gazeti la kulikoni lipo wapi sasa hata tovuti mwanakijiji hatujui ipo wapi sasa....eti sababu habari iliyoandikwa imeligusa jeshi la wananchi.
Hivi jeshi la wananchi ndiyo chombo kilichoundwa na umma wa Tanzania. Hivyo kimsingi wananchi wana haki ya msingi kabisa kufahamishwa yanayotokea na kufnywa na jeshi hili yawe mazuri ama mabaya..
Mheshimiwa sana, Kulikoni Ughaibuni, nashukru kwa kujitolea katika hili la kum-support Dr. Slaa tuko pamoja, heshima mbele Mkuu. kama huoni shida badilisha hii background colour yako, rangi nyeusi haivutii na inaumiza macho. Natangulizua shukrani zangu. Tuko pamoja.
Rf anonymous 22:42....
Additional point from that positive comment about the background display. Why don't you Ughaibuni blog come out with black fonts as well which will make much better and easier to read for us followers of your blog...Thanks
ok, umejitahidi kumpigia debe dk slaa. lakini unashindwa kufahamu kwamba jK Ameifanya tz kuwa nchi ya amani na utulivu.
kumbuka kabla ya jk sasa hivi tulikuwa tukisia majibizano pamoja na kukimbizana kati ya polisi na wafuasi wa upinzani. lkn utwala wa jk mambo hayo hayapo kabisa.
nakukaribisha kwenye
www.jktu2010.blogspot.com
nchi ya amani na utulivu.

by malaria sugu wa jamiiforums

Reference anonymous 13:44 and 13:46.
Sasa hapo ndiyo nimekubali kwamba tunasafari ndefu sana kupata maendeleo kwa maoni ya huyu mfuasi. Kimsingi mfuasi ina maana hata kitu ama jambo limekosewa wewe unalipaka rangi ya dhahabu.
Kumjulisha tuu huyu bwana kwamba Tanzania hakuna amani ya ukweli isipokuwa wanasiasa wanaongea tuu majukwaani. Jambo linatokea ni kwamba wananchi wengi wananidhamu ya uwoga. Na uwoga huwa na kikomo chake. Nchi kama Somalia siyo kama iliandikiwa kufikia hapo ilipo.
Narudia tena kama unaposoma vitu kwa vielelezo hakuna Nchi katika Africa iliyokuwa na Amani na uchumi imara zaidi ya nchi Ivory Coast. Hizi siasa ambazo wewe unazishabikia hivi sasa ndiyo ziliweza kuvunja amani katika nchi hizo. mwanamuziki wa muziki wa reggae anaitwa Alfa blondy alitengeneza album ya muziki ambayo ilikuwa inakemea hayo ambayo wewe unayoyashabikia.
Wanasiasia wa dhalimu na mafisadi kma haw leo unaowashabikia wakazuia hiyo albamu kuingia sokoni na kuwekwa korokoroni, au kama leo Gazeti la kulikoni lilivyofungiwa au zito alipoitwa mwongo bungeni au kama vile Kampuni ya Kagoda inavyokkosa mmiliki au kama orodha aliyotoa Dr Slaa ya mafisadi ambayo wapo mtaani wanakula maisha kama wapo peponi.....
Nimefikia mahali kuona kwamba ni kweli sisi tunaojiita watanzania hatuna utanzania ni dhahiri wananchi wa Taifa lingine. Nashindwa kuelewa neno uzalendo linamfahaa nani...huyu mtoa maoni amenichosha kabisa na uelewa wa watanzania ndiyo sababu leo rahisi anakutakana kesho anasema sikusema hivyo umeshindwa kunielewa.
lakini hata malaria sugu amefungiwa kwenye jamiiforums, media ya chadema huku wenyewe chadema wakijifanya ndio watetezi wakuu wa haki ya kutoa maoni
Anonymous 08:47......
Vyama vingi vya siasa haina tofauti na mfumo huria wa biashara Mfano sekta ya biashara huduma ya simu, tulikuwa TTCL pekee siku za zamani na sasa tuna kampuni zaidi nne katika soko hili.
Hivyo mfumo wa siasa wa wazalendo wa Tanzania hii ya leo inatakiwa pia huwe "fair and balance politcal opportunities" hii italeta ushindani katika utendaji wa vyama siasa. Tutaacha kuchagua viongozi wa serikalini wanaotokana na vyama vya siasa kwa sababu anatoka chama gani. Angalia hivi sasa inaonekana kwamba Dr Slaa ni tishio kwa Mgombea wa CCM.
Sababu kubwa moja tuu binafsi inayompa DR Slaa fursa kubwa kutwaa kiti cha uraisi kwa sababu ya utendaji wake na uwajibikaji kamili bila ya porojo na siyo jina la chama chake cha Chadema, kama wagombea wengine wa kiti hicho cha urais.
Maana yangu kwamba hata uwakilishi bungeni isiwe wa dominant kwa chama kimoja haitaleta tija na uwajibikaji kwa wabunge bungeni. Angalia wabunge wengine tangu bunge lianze kwa kipindi miaka zaidi kumi amekuwa mmbunge bila kuulizwa swali...Je hii kweli inaingia akili!!!!?. Hivyo zana domination wabunge kutoka chama kimoja tuu cha siasa inaharibu kabisa maana ya bunge.....
Hivyo nategemea kama ni mtu mwenye akili timamu na pia iwapo Mzalendo wa Tanzania utakuwa umeelewa. La sivyo itakuthibitishia kwamba wewe ni mzalendo wa jina na siyo kutoka moyoni kwa sababu hupo tayari kusaliti wazalendo wenzako kwa sababu ya chama cha siasa
Hawa watu wa CCM hawataki kukiri kuwa safari hii wamemsimamisha mgombea mabaye afya yake inatia mashaka. Kama hawapo makini inaweza kuwapotezea watanzania imani.
ReplyDeleteMatukio ya kuanguka kwa Kiongozi wetu, Mkuu wa Nchi yanatisha na kila mara sababu ni kama zinafanafa (Sukari kushika, swaumu, BP) nk. Huyu mtu ambae ana madaktari wake wa karibu (tofauti na watanzania wa kawaida) wanashindwaje kumpima kabla hajasimama jukwaani?. Hii ni fedheha kwa mataifa kuwa na kiongozi ambae hapatiwi huduma za afya za kiuchunguzi wa kina. Ni fedheha kuwa na wana usalama ambao wanashindwa hata kubaini afya ya Rais na kumsaidia mapema.
SEHEMU YA PILI(Wakati anaanguka)
http://www.youtube.com/v/0S2AE3xXR-Q..._embedded&fs=1
SEHEMU YA MWISHO(Baada ya kuanguka)
http://www.youtube.com/v/dJIemqlBK4Q..._embedded&fs=1
Afadhali angekufa si kuanguka. Ni ushirikina na madhambi yake ya kuwachuuza watanzania yanayomrudi. Malipo ni hapa hapa duniani. Namuombea afe haraka ili nchi yetu ikombolewe.
ReplyDeleteInawezekana ameshachunguzwa sana nakupewa taarifa kamili ya afya yake lakini daktari hawezi kumlazimisha mgonjwa kupumzika. Mimi binafsi sina chama lakini nitampigia kura mgombea yule anayeonyesha uwezo na si vinginevyo. Nilimpigia kura Mkapa sababu niliamini aliosimamishwa nao wote hawakuwa wanampita kiwango cha uongozi. Na sasa nampigia Dr. Slaa kwasababu amenidhibitishia ana uwezo wakupewa mzigo wa uongozi kipindi chote alichokua mbunge. Hakuwa mtawala bali mtumishi wa wananchi. Amekuwa anapigania maslahi ya wananchi nakuweka maisha yake hatarini kwaajili ya Tanzania. Who else anaweza akainyooshea kidole CCM akiwa na evidence bila kuogopa? Asingekua Dr. Slaa nani angejua EPA na utajiri waliojilimbikizia wachache Tanzania? Nchi imeoza na nchi imeuzwa lakini Raisi bado anazungumzia mafanikio asioweza kuyataja takwimu zake. Amekua very general kama mtu asiyekuwa na taaluma yeyote. Viongozi wake wanafoji vyeti yeye anafumbia macho swala hilo. Hivi mtu atakua na cheti cha darasa la saba na cha computer alafu anakua mbunge. Mtu huyu anaweza kugundua mikataba halali na mibovu? Mtu huyu anaweza akachambua bajeti kweli? Mtuhumiwa wa mauaji ya albino kweli anapitishwa kwenye kura za maoni? Mtuumiwa wa ufujaji wa mali ya umma anapitishwa kwenye kura za maoni? Ukishatuhumiwa wewe haustahili uongozi wowote mpaka kesi yako imalizike vyombo husika vikusafishe. Huu ni uozo uliokithiri kwenye uongozi wa Raisi Kikwete. Raisi anachokizungumza hakiendani na anachokitenda. Ukiangalia viti maalum hakuna mwakilishi wa mkulima wala mfanyakazi. Nalazimika kusema viti maalum vimewekwa kwaajili yakutoa fadhila wanazozijua wao. Kama wanawake wengine kama Anna Tibaijuka wanaweza kugombania wakapata kura then viti maalum vinakazi hipi hasa???
ReplyDeleteUna mawazo mazuri,lakini hayana impact kwa kuwa wengi wa hao wanaosoma hizi habari kwenye mitandao si wapiga kura. Wapiga kura wapo vijijini. Tafuteni namna ya kuwafikia hao.
ReplyDeleteAnonymous wa 16:47....
ReplyDeleteKuna redio stesheni nyingi tuu za masafa ya fm. Kimsingi zinaweza kuwafikia wananchi waliopo vijini hata sehemu zisizofikika kwa urahisi, kwa kuandaa vipindi maalum, kutoa maelezo na habari zilizojiri kwenye hizi blogu kama hii hapa ya ughaibuni kilichomo ndani yake, isipokuwa serikali iliyopo madarakani ukifanya hivyo kuna nafasi kubwa sana ya kituo hicho redio kuwekewa zengwe kwa namna nyingine ili kifungiwe...
Mfano angalia gazeti la kulikoni lipo wapi sasa hata tovuti mwanakijiji hatujui ipo wapi sasa....eti sababu habari iliyoandikwa imeligusa jeshi la wananchi.
Hivi jeshi la wananchi ndiyo chombo kilichoundwa na umma wa Tanzania. Hivyo kimsingi wananchi wana haki ya msingi kabisa kufahamishwa yanayotokea na kufnywa na jeshi hili yawe mazuri ama mabaya..
Mheshimiwa sana, Kulikoni Ughaibuni, nashukru kwa kujitolea katika hili la kum-support Dr. Slaa tuko pamoja, heshima mbele Mkuu. kama huoni shida badilisha hii background colour yako, rangi nyeusi haivutii na inaumiza macho. Natangulizua shukrani zangu. Tuko pamoja.
ReplyDeleteRf anonymous 22:42....
ReplyDeleteAdditional point from that positive comment about the background display. Why don't you Ughaibuni blog come out with black fonts as well which will make much better and easier to read for us followers of your blog...Thanks
ok, umejitahidi kumpigia debe dk slaa. lakini unashindwa kufahamu kwamba jK Ameifanya tz kuwa nchi ya amani na utulivu.
ReplyDeletekumbuka kabla ya jk sasa hivi tulikuwa tukisia majibizano pamoja na kukimbizana kati ya polisi na wafuasi wa upinzani. lkn utwala wa jk mambo hayo hayapo kabisa.
nakukaribisha kwenye
www.jktu2010.blogspot.com
nchi ya amani na utulivu.
ReplyDeletekumbuka kabla ya jk sasa hivi tulikuwa tukisia majibizano pamoja na kukimbizana kati ya polisi na wafuasi wa upinzani. lkn utwala wa jk mambo hayo hayapo kabisa.
nakukaribisha kwenye
www.jktu2010.blogspot.com
by malaria sugu wa jamiiforums
nchi ya amani na utulivu.
ReplyDeletekumbuka kabla ya jk sasa hivi tulikuwa tukisia majibizano pamoja na kukimbizana kati ya polisi na wafuasi wa upinzani. lkn utwala wa jk mambo hayo hayapo kabisa.
nakukaribisha kwenye
www.jktu2010.blogspot.com
by malaria sugu wa jamiiforums
Reference anonymous 13:44 and 13:46.
ReplyDeleteSasa hapo ndiyo nimekubali kwamba tunasafari ndefu sana kupata maendeleo kwa maoni ya huyu mfuasi. Kimsingi mfuasi ina maana hata kitu ama jambo limekosewa wewe unalipaka rangi ya dhahabu.
Kumjulisha tuu huyu bwana kwamba Tanzania hakuna amani ya ukweli isipokuwa wanasiasa wanaongea tuu majukwaani. Jambo linatokea ni kwamba wananchi wengi wananidhamu ya uwoga. Na uwoga huwa na kikomo chake. Nchi kama Somalia siyo kama iliandikiwa kufikia hapo ilipo.
Narudia tena kama unaposoma vitu kwa vielelezo hakuna Nchi katika Africa iliyokuwa na Amani na uchumi imara zaidi ya nchi Ivory Coast. Hizi siasa ambazo wewe unazishabikia hivi sasa ndiyo ziliweza kuvunja amani katika nchi hizo. mwanamuziki wa muziki wa reggae anaitwa Alfa blondy alitengeneza album ya muziki ambayo ilikuwa inakemea hayo ambayo wewe unayoyashabikia.
Wanasiasia wa dhalimu na mafisadi kma haw leo unaowashabikia wakazuia hiyo albamu kuingia sokoni na kuwekwa korokoroni, au kama leo Gazeti la kulikoni lilivyofungiwa au zito alipoitwa mwongo bungeni au kama vile Kampuni ya Kagoda inavyokkosa mmiliki au kama orodha aliyotoa Dr Slaa ya mafisadi ambayo wapo mtaani wanakula maisha kama wapo peponi.....
Nimefikia mahali kuona kwamba ni kweli sisi tunaojiita watanzania hatuna utanzania ni dhahiri wananchi wa Taifa lingine. Nashindwa kuelewa neno uzalendo linamfahaa nani...huyu mtoa maoni amenichosha kabisa na uelewa wa watanzania ndiyo sababu leo rahisi anakutakana kesho anasema sikusema hivyo umeshindwa kunielewa.
lakini hata malaria sugu amefungiwa kwenye jamiiforums, media ya chadema huku wenyewe chadema wakijifanya ndio watetezi wakuu wa haki ya kutoa maoni
ReplyDeleteAnonymous 08:47......
ReplyDeleteVyama vingi vya siasa haina tofauti na mfumo huria wa biashara Mfano sekta ya biashara huduma ya simu, tulikuwa TTCL pekee siku za zamani na sasa tuna kampuni zaidi nne katika soko hili.