Featured Posts

Wednesday, December 15, 2010

Track Mpya na Kali kwa Krismas na Mwaka Mpya (VIDEO)

NIMETUMIWA NA WADAU,NAMI NAIWASILISHA

Kwanza napenda kukusalimu sana na kukupa hongera sana kwa kazi ambayo umeendelea kuifanya katika blog site yako big up sana...Tulikua tunaomba ututambulishie hii trak yetu mpya ni ya X-mas and New year special. Natanguliza shukurani zangu kwako. Asante sana.



UMABE GENERAL MANAGER: AZMA MPONDAPRODUCED BY: KITA
STUDIO: RAMA RECORDS
PROJECT AND DESIGN: FREDY NJEJE
COUNTRY:TANZANIA
+255712738888
MAY GOD BLESS U ALL!! PAMOJA SANA.
EMAIL: azmamponda@gmail.com &umabe2010@yahoo.com
WEBSITE:  http://umabeartscompany.blogspot.com

Tunatanguliza shukurani
 Zetu....

3 comments:

Anonymous said...

Hii track ni ya ovyo sina mfano. Wasanii wetu wataendelea kuwa maskini kutokana na kutojituma na kuigiza. Si vizuri kubeza kazi ya mtu. Hivyo hivyo si vizuri kusifia makosa. Sijui wenzangu.

EVARIST said...

Anonymous umeua!Mie kazi yangu ni kuposti tu.Reviewing nawaachia wadau.

Anonymous said...

Mkuu ingawa unasema kazi yako ni kuwakilisha, siyo kila kitu kinapaswa kuwakilishwa. Huu ni uchafu wa kisanii ambao blog makini kama yako haipaswi kuubeba. Njaa ya wasanii wetu kweli ndicho chanzo wasanii wa kibongo kuwa kama nepi. Wengine hutafuta sifa na kuiga wasijue hawafiki popote zaidi ya kuishia kuisha kwa ndoto kama wavuta bangi. Hawa si wasanii ni wababaishaji. Na huo ndiyo ukweli.

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India