Baadhi ya Watanzania wanaoishi hapa Uingereza waliendesha harambee ya kuchangia wahanga wa milipuko ya mabomu huko Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.
Picha za harambee hiyo katika mji wa Reading. Left to Right: JJ, Chisumo,
Ms Jestina, Gardol na Frank
Frank na Ms Jestina
 |
Ms Jestina |
Mdau akichangia
Mkurugenzi wa Locus Impex Shipping,B. Chisumo akifungua harambee
Mtoto Shanelle akimpa mchango Ms Jestina
Toa ndugu ikiendelea
Shughuli ikiendelea
 |
Wadau |
Posted in: MILIPUKO DAR,Reading,Watanzania UK
Email This
BlogThis!
Share to Facebook
Inapendeza kuona bado kuna watu WANAJALI!
ReplyDelete