Featured Posts

Saturday, November 19, 2011

Ufisadi wa Kitaaluma: Angalia Tovuti ya Gazeti la Tanzania Daima


Kupitiwa, Uzembe au Ufisadi wa Kitaaluma (ya uandishi wa habari)?Leo ni Jumamosi ya tarehe 19 Novemba 2011 lakini tovuti ya Tanzania Daima ina habari za Jumatatu ya tarehe 11 April 2011,zaidi ya miezi saba iliyopita.Hii ni aibu kubwa kwa gazeti ambalo limejipatia umaarufu kwa kukemea ubabaishaji,uzembe na ufisadi...

HOVYOO!!!

2 comments:

Bongo Pix said...

Ni full vioja, nimeitembelea mara kadhaa nakuta kurasa hiyo hiyo, nikadhani labda wamevamiwa na hackers, lakini kama sivyo bali ni maamuzi yao kuweka ujumbe wa miezi sita iliyopita, huu si ufisadi bali UJAMBAZI WA KITAALUMA.

Anonymous said...

Tembelea wesites za taasisi mbalimbali uone. Hapo ndio utakamilisha uelewa wako wa matumizi yetu ya mitandao

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India