| Angalia kitambi kilivyoshamiri.Huyu ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama |
| VITAMBI OYEE: Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama |
| HOI KWA USINGIZI: Mheshimiwa John Komba akitafakari matatizo ya wapigakura wake jimboni Mbinga |
| Kwanini Kapteni Komba aache kuimba kuisifia CCM iliyomwezesha kuwa na kitambi kikubwa namna hiyo? |
| KITAMBI: Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Didas Masaburi |
| Mtu mzima hovyoo!!! |
![]() |
| MHESHIMIWA SAMUEL SITTA: Kamanda wa jeshi la kupambana na mafisadi azidiwa nguvu na usingizi |
![]() |
| Mzee wa Kiraracha AGUSTINE MREMA akibuni mbinu za kuipeleka TLP Ikulu |
| Mbunge anaota posho usingizini |
![]() |
| Usalama wa nchi nao ukiwa usingizini. |
![]() |
| Waziri Ngeleja akiwajibika kwa kuuchapa usingizi bila kumhofia bosi wake hpo pembeni |
![]() |
| Maji hufuata mkondo |
| Watoto wanaketi chini hakuna madawati msitu wa Songea na Mafinga Sao Hill akina Lukuvi wamejipigia ufisadi ambapo serikali ingetengeneza masawati ya kutosha nchi nzima, |
| Watoto wakitoka 'darasani' huku wamenyong'onyea |
| Shule ya msingi ambamo wanasoma watoto wa wapiga kura |
| Hata kwenye shule za sekondari nako hali mbaya |
| Hii ni zahanati mpiga kura ndo analalia kitanda hicho wao Muhimbili wanaenda kupumnzika kisha hao India |
| Hii ndo maabara ambapo mpiga kura anakuja kupimwa maradhi yake |
| Wapiga kura wanalala mzungu wa nne kitanda kikiwa full mpiga kura inamlazim adondoshe gari sakafuni anamwachia matumaini Mungu |
| Wapiga kura hawa wasio thaminiwa wakiwa wamerundikana kama wanyama wanapatiwa matibabu |
| maji anayo tumia mpiga kura kwa kunywa na kupikia na kufulia |
Mpiga kura wa hao jamaa walio vimbiana matumbo akikata kiu kwa maji kumbuka hayo maji kayafuata kwa kutembea zaidi kilomita 20. SHUKRANI KWA NANA KANZAGA WA COVENTRY (UK) KWA PICHA |



.jpg)



22:13
Unknown
Posted in:
No comments :
Post a Comment