Featured Posts

Wednesday, April 25, 2012

Kikwete: 'Sare' hii dalili njema kwa vazi la Taifa (PICHA)

Inawezekana kitendawili cha vazi la taifa kinaweza kuwa kimepata mwanzo mzuri,kama si ufumbuzi kabisa.Wazo hilo limenijia baada ya kuangalia picha hii ya Rais Kikwete na huyo mwanamama wa tatu kushoto,ambapo mitindo ya  mavazi yao ni yameshabihiana kwa kiasi flani hususan ukosi wa mikono.WAMEPENDEZA

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India