Featured Posts

Saturday, February 23, 2013

Tangazo:Mnunuzi/Dalali anahitajika Kiwanja Chenye Nyumba Kinauzwa Kindondoni Biafra




Salamu Wadau,

Nauza kiwanja jijini Dar es salaam, Kinondoni B mkabala na BIAFRA
Kuna nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu, eneo lina ukubwa wa
320 square metre, nyumba iliyopo inafaa kwa matumizi (lakini haiko katika
viwango vya juu ni ya kawaida sana)

Mpangaji ameshapewa notes ya kuondoka mwezi May 2013.

Natafuta mnunuzi au dalali kunisaidia kuuza (kama unamjua dalali nijulisha
namba yake au mjulishe ). Bei 80 milion, document zipo na hakuna migogoro
Email: dorinchambo@gmail.com , 0717 521 379

Asante

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India