Featured Posts

Tuesday, March 12, 2013

E-FIT (Mchoro wa Sura/Maumbile ya mtu kwa kutumia kompyuta) ya aliyemuuwa Padre Evaristus Mushi

Name:  killer.jpg Views: 0 Size:  11.8 KB

Jeshi la polisi Zanzibar limetoa mchoro wa sura (E-FIT) ya aliyemuua Padre Evaristus Mushi. Mchoro huo umepatikana baada ya Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) na Polisi Zanzibar kuwahoji watu walioshuhudia tukio hilo la mauaji. Wananchi wametakiwa kuripoti polisi pindi wakimwona mtu mwenye sura hiyo. 

Chanzo Jamii Forums

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India