
Ukumbi maarufu wa mtandao (
web forum) kwa Watanzania,
JAMBOFORUMS,hauko hewani.Kwa mujibu wa taarifa kutoka
KLH NEWS,wanachama wawili wa
Jamboforums walikuwa
wakishikiliwa na polisi kwa tuhuma zinazoashiria kuhusishwa na ushiriki wao kwenye Ukumbi huo.Kwa habari zaidi,soma
HAPA na
HAPA
Posted in: JAMBOFORUMS,KLHNEWS,WATANZANIA,WEBFORUMS
Email This
BlogThis!
Share to Facebook
No comments :
Post a Comment