VYANZO:Sky News,Habari Leo ,The Washington Post na The Guardian.
Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Hali ya huko ni mbaya. Na la kusikitisha ni kuwa "biashara" ya nchi kubwa na "vita baridi" baina yao inaendeleza hali hii. Wana uwezo wa kuzuia maafa haya kwa wahanga wasio na hatia. Wana uwezo wa kuweka mambo sawa, lakini biashara ya silaha na vyakula itakwama. Utu si kitu kwa baadhi ya watu na zaidi ni pesa na utawala. Kujijengea uchumi na nafasi ya kuwa mtawala ndilo linalopewa kipaumbele hata kama ni kwa kumwaga damu. "Hatuwezi kutatua tatizo kwa kutumia njia zilezile zilizotuletea tatizo hilo" Ndicho walichosahau waheshimiwa. Sijui chanzo, na sijui mwisho ni lini, lakini twauhitaji mwisho huo sasa.
Blessings
Mimi taaluma yangu uadishi wa habari ninashindwa kujua juu ya mashabulizi haya!!! Je nyinyi wanasiasa kitaaluma tufanye nini ili kuthibiti na kuimalisha amani duniani?
Yanapotokea maandamano kama haya, kwamba kinachofanywa na waisrael dhidi ya maadui wao, kuna waungwana waumini wanakwambia biblia ilishatabiri: "...nanyi mtakuwa watu wa kukataliwa na mataifa yote kwa ajili ya Jina langu...".
Sasa mtu unajiuliza, kukataliwa kwa ajili ya 'Jina langu' ndio huku kuwaua raia wengine (hata kama wana hatia)? Kwa nini Mwizrael akiua inaonekana si kosa kama anapouawa mpalestina?
Haya ndio mambo ya Taifa la Mungu. Kila wanachofanya kinaungwa na wakristo duniani kote hata kama Waisrael wenyewe hawajawahi kuukubali Ukristo.
Hali ya huko ni mbaya. Na la kusikitisha ni kuwa "biashara" ya nchi kubwa na "vita baridi" baina yao inaendeleza hali hii. Wana uwezo wa kuzuia maafa haya kwa wahanga wasio na hatia. Wana uwezo wa kuweka mambo sawa, lakini biashara ya silaha na vyakula itakwama. Utu si kitu kwa baadhi ya watu na zaidi ni pesa na utawala. Kujijengea uchumi na nafasi ya kuwa mtawala ndilo linalopewa kipaumbele hata kama ni kwa kumwaga damu. "Hatuwezi kutatua tatizo kwa kutumia njia zilezile zilizotuletea tatizo hilo" Ndicho walichosahau waheshimiwa. Sijui chanzo, na sijui mwisho ni lini, lakini twauhitaji mwisho huo sasa.
ReplyDeleteBlessings
Mimi taaluma yangu uadishi wa habari ninashindwa kujua juu ya mashabulizi haya!!! Je nyinyi wanasiasa kitaaluma tufanye nini ili kuthibiti na kuimalisha amani duniani?
ReplyDeleteYanapotokea maandamano kama haya, kwamba kinachofanywa na waisrael dhidi ya maadui wao, kuna waungwana waumini wanakwambia biblia ilishatabiri: "...nanyi mtakuwa watu wa kukataliwa na mataifa yote kwa ajili ya Jina langu...".
ReplyDeleteSasa mtu unajiuliza, kukataliwa kwa ajili ya 'Jina langu' ndio huku kuwaua raia wengine (hata kama wana hatia)? Kwa nini Mwizrael akiua inaonekana si kosa kama anapouawa mpalestina?