Featured Posts

Thursday, January 29, 2009

1 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Dah!! Ni kweli kuna wasanii na waimbaji. Kuna wanaoimba kwa kuwa wanataka kusisika na wanaosikika kwa kuwa wanaimba. Kuna haja ya TBS kuweka viwango vya muziki.
Pengine hii ndio hatua ya mwanzo kuelekea mafanikio, lakini mbona wana-get worse and worse everyday? Wanajipoteza katika harakati zao za kujitafuta. Wanakuwa kama mhogo uliopikwa ukagoma kuiva na unakuwa hauliki. Ama wabakie wabichi ama wakijipika waive, lakini kuwa katikati ya ubichi na kuiva hawajulikani wako vipi na HAWALIKI. Namaanisha hawasikilizi.
Ni mtazamo wangu tu

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India