Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Habari kaka Evarist
Nakutakia heri ya mwaka mpya wa 2009.
Naomba tuendelee kushirikiana kama mwaka uliopita.
Kaka Evarest, nilipokuwa nikiangalia picha hizi, nikakumbuka namna sisi huku nyumbani tunavyoupokeaga mwaka.
Hatukupata bahati ya kupata picha za nyumbani usiku huo, lakini bila shaka tungeona watu wakizunguka na madebe, wengine wakichoma matairi barabarani. Tunatofautiana sana.
Habari kaka Evarist
ReplyDeleteNakutakia heri ya mwaka mpya wa 2009.
Naomba tuendelee kushirikiana kama mwaka uliopita.
Kaka Evarest, nilipokuwa nikiangalia picha hizi, nikakumbuka namna sisi huku nyumbani tunavyoupokeaga mwaka.
ReplyDeleteHatukupata bahati ya kupata picha za nyumbani usiku huo, lakini bila shaka tungeona watu wakizunguka na madebe, wengine wakichoma matairi barabarani. Tunatofautiana sana.