Featured Posts

Wednesday, April 01, 2009

OBAMA AWASILI UK,LONDON NI VURUGU MTINDO MMOJA DHIDI YA G-20 (PICHA NA VIDEO)


Msafara na ulinzi wa "kufa mtu"
Obama akiwasili Na.10 Mtaa wa Downing baada ya kushuka kutoka kwenye "The Beast"
Siku ya kumbukumbu kwa askari huyu,pc Michael Zamora

Obama na mkewe Michelle na Gordon Brown na mkewe Sarah,nje ya Na 1o Mtaa wa Downing.
Obama na Gordon Brown katika Mkutano na waandishi wa habari.

NA SASA NI MAANDAMANO YA MAKUNDI MBALIMBALI JIJINI LONDON DHIDI YA MKUTANO WA G-20 (NA SABABU NYINGINEZO)







BONYEZA HAPA KWA PICHA ZAIDI ZA MAANDAMANO .

VYANZO: The Guardian,The Daily Mail na ITN

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India